TCU na Kozi za Udakitari

TCU na Kozi za Udakitari

Hiyo kazi unapataje bila kufaulu ,tena kufaulu sanaa, acheni kumshauri Dogo ujinga, mwambieni ukweli kuwa Medicine hasa Muhas haihtaji vilaza ,kwa matokeo yake hayo dogo alibugi, narudia tena ,watanzania wengi hatupendi kuambiwa ukweli, a guy he is not suitable and fit kwa chuo kama Muhas

Duh!!msomi veeeepe!!'a guy he is not suitable' au 'a guy who is not suitable'
 
enzo ferrar aliwah kumdharau jamaa mmoja kwa kumwambia unaweza kuendesha trekta lakini hutaweza kuendesha ferrari ipasavyo jamaa alijickia vibaya sana ikabid na yeye atengeneze magar mazury zaidi jamaa alikua anaitwa ferruccio LAMBORGHIN
 
dogo tafta nafas ili cku uwaonyeshe ma CHOKO wenye dharau kama huyu kwamba we er all genius .....but the matter is CHANCE
 
This time,ukiona umechaguliwa MUHAS na UDSM kwa upande wa MD ujue umefaulu sana,kwa wenye ufaulu wa kawaida ndo wengi wamekwenda hvyo vyuo vingne!

mbona UDSM wamechukua adi wenye 8.5 ambayo ni credit na ni MD,
Jaribu kufuatilia kwenye batch no 2 utaona............
 
ameomba ushauri nadhani tungemshauri kuliko kumwambia ana akili ndogo haiwezi MD.USIJIDANGANYE eti umepata distinction naye kapata merits ukadhan hana akili uwezi jua wakati anafanya mtihani alipatwa na nini
 
hivi huwezi kusonga mbele bila M.D?...is M.D everything to u mpaka uwape wazazi mzigo mwingine tena?...(incase kama hawana uwezo wa kutosha)...can u try to divert ur mind to other professionals?...anyway kwangu mie nahisi t z better uende C.O kwanza if ur mind cant leave m.d kuliko kwenda hivyo vyuo vyenye gharama kibao...PCB?..una wigo mpana mdogo wangu..unaingia kila sehem...just think careful and if posible tafta watu wakushaur deeply..my mum once told me 'sometimes we ought to do something we don like not because we don deserve to do wat we like, it is for our beloved ones and it is our fate and destiny..if u keep fighting 4 wat u like u will end up either hurting ur beloved ones or injuring urself..gudluck young b

You are wise_
 
Yer Bro Dogo Ina Bidi Atambue Kua Katka Maisha Ukiwa Na Nia/malengo Ya Kufany Ktu Fulan Hakuna Njia Moja Tu Ya Kutokea.njia Fulan Ikigoma Huna Budi Kufkiria Plan B Na Cyo Kupoteza Muda Coz At The End Waweza Kuangukia Pabaya..Two Pple Of Th Same Interests May Path Thru Diffrent Ways From Th Origin Towards A Certain Destination En At End Wanakutana Palepale Kla Mmoja Alipopakusudia..So Bro Try To Thnk For Plan B..Kapge Tu Dploma Coz Istoshe Ni Course Ya Afya

True say
 
Nan alikwambia ufeli................matokeo yenyewe brn...then waliopata distinction kibao....we unataka merit yako upate.....shauri yako chuo hamna brn utajuta

Ww inawezekana unaufinyu wa mawazo kama co fikra hafifu
 
hivi huwezi kusonga mbele bila M.D?...is M.D everything to u mpaka uwape wazazi mzigo mwingine tena?...(incase kama hawana uwezo wa kutosha)...can u try to divert ur mind to other professionals?...anyway kwangu mie nahisi t z better uende C.O kwanza if ur mind cant leave m.d kuliko kwenda hivyo vyuo vyenye gharama kibao...PCB?..una wigo mpana mdogo wangu..unaingia kila sehem...just think careful and if posible tafta watu wakushaur deeply..my mum once told me 'sometimes we ought to do something we don like not because we don deserve to do wat we like, it is for our beloved ones and it is our fate and destiny..if u keep fighting 4 wat u like u will end up either hurting ur beloved ones or injuring urself..gudluck young b

I like what ur mum told U..!
Genius
 
Abubaro95,Some Times Uwe Unajarbu Kua Na Hekima Plus Busara Kwa Jamii Inayokuzunguka Mkuu Hasa Pale Inapohitaji Msaada Wako Na Faraja Pia...Sisi Sote Bado Ni Vjana Tena Leaners,hakuna Aliefikia Malengo Yake Bdo Na Hakuna Atakayejua Kua Atayafikia Au Lah But Evrbody Yuko Na Hope Kua Atayafiki Bt Ajuae Ni Mungu Tu...So Kutiana Moyo Ni Jambo La Msing Sana Na Cyo Kuvunjana Moyo Kaka...Ukumbuke Kua Kuna Kifo Ambacho Knaweza Kukatisha Hzo Akili Zko Nying Ulzonazo Zkawa Ni Kumbukumbu Tu Hapa Dunian Na Zkapotea Kabsa Bla Kuzfanyia Ktu Chochote Cha Msingi...
 
Mawazo kama haya ndo yanatujenga kimaisha,May God bless u.....

Thankyuuuu
 
Yaani there are some people humu ndani ni ma dream crushers. Just because you didn't dare to dream doesn't mean you can kill another person's dreams and hopes to achieve something. Hao ma dream crushers wananiboa sana mtu anaomba advice anarushiwa maneno kama huna something good kusema au kutoa motivation better keep your mouth shut. Lastly, for all those haters no dream is too big and no dreamer is too small. Fighting!
 
usiseme hivyo kisa wewe ushavuka mpe mwenzio ushauri utakao msaidia si ndo unampigilia msumari...nani kakwambia ukisoma muhas or ukiwa doctor ndo utakuwa na gudlife...tusaidiane bhana kama huwez kumsaidia kimawzo bora umwache na si kdiscourage...haya mambo sometimes ni bahat tu hakuna mjanja...
 
Back
Top Bottom