TCU na Kozi za Udakitari

TCU na Kozi za Udakitari

Kwa medicine na kwa chuo kama Muhas na kwa BRN na kwa mwaka huu ambapo Combination kama PCB, CBG distinction za kumwaga ,huyo dogo acha nimwite kiraza.

tatzo wanajaza kwa ushndan na wanatafuta title kuwa wanasoma MUHAS,KCMC, kama unaona ndoto zako ujatimiza kapge ki2 kingne afu mbele ya safar utaendelea na ukipendacho;
 
Mkuu Kuna Rafik Zangu Wawil Mmoja Ana Credit 2.3 Na Mwngne Ana Merit 3.0 Wamepata MD tena second round Udom Pale Ila Kuna Wengne Kama Ww Hawajapata Pia...Tcu Mwaka Huu Cwaelew
 
This time,ukiona umechaguliwa MUHAS na UDSM kwa upande wa MD ujue umefaulu sana,kwa wenye ufaulu wa kawaida ndo wengi wamekwenda hvyo vyuo vingne!
 
Hawa madogo hawafikiriagi tatizo na hata ushauri kuomba tatizo, ndo anakuja kulialia saizi

Honestly unatumia maneno makali xana. Ina onekana unajikuta unajua xana VP GPA zako ni za 5.0 nn na VP huwa unasifiwa una akili xana nini? Ndo maana unamkandia dogo wa watu.?

Nawasiliishaa!!
 
Pole sana ndugu kwa yaliyotokea ila jaribu na vyuo walivyosema wadau hapo mwanzo
 
Honestly unatumia maneno makali xana. Ina onekana unajikuta unajua xana VP GPA zako ni za 5.0 nn na VP huwa unasifiwa una akili xana nini? Ndo maana unamkandia dogo wa watu.?

Nawasiliishaa!!

Sijifanyi najua ,ukweli nikuwa najua , natatizo lenu hampendi kuambiwa ukweli madogo
 
Sijifanyi najua ,ukweli nikuwa najua , natatizo lenu hampendi kuambiwa ukweli madogo

Mkuu Kumbuka Pia GPA Kubwa Siyo Tija Waweza Kua Na GPA Kubwa Bt Kiufanisi/utendaji Ukawa Kilaza Na Alie Ingia Na GPA Ndogo Akakuzid Ufanisi Kazin.,,kwenye Fani Ya Udaktari GPA kubwa o ndogo is nothin coz ipo tu ili ukamilishe unachokisoma bt ni muhimu pia..kutibu wagonjwa wengi,kukutana na changamoto nying zinazohusu afya kwa ujumla ndo humfanya mtu awe na ufanisi katika kaz hiyo..Mfano Mzur Ukichunguza Madaktar Weng Walioanzia C.O Wana Ufanisi Mkubwa Zaid Ya Wale Walioingia MD direct
 
This time,ukiona umechaguliwa MUHAS na UDSM kwa upande wa MD ujue umefaulu sana,kwa wenye ufaulu wa kawaida ndo wengi wamekwenda hvyo vyuo vingne!
Na udsm pia kuna gpa za 2.7 ka tatu ivi nmeziona medicine so kuchaguliwa pia inategemea na connection yako
 
Kilaza wewee nenda Eagle wings college ukasome Medicine, Muhas hatutaki vilaza

Hilooo, kwanza sasa hiyo elimu 'akili kubwa' inakusaidia nn kama hata busara za kumjibu mtu mwenye umri mdogo kuliko wako unashindwa, mkuu tafuta pia elimu ya nje ya darasa, hiyo ya darasani haitoshi..

You are educated but not yet civilized!!! Au unasubiri kufundishwa communication skills na ethics ndio upate Busara!!?
 
Busara zangu sio kwa vilaza mkuu, Dogo ni kilaza huyo
 
Ajikwezaye hushushwa na ajishushaye hukwezwa(aliyekupa ulicho nacho ndiye aliyemnyima asiyekuwa nacho kwani na yeye ana kitu ambacho wewe hauna)
 
Kuna mtu ameuharibu huu uzi wa huyu dogo Buffer, sijui kwanin...!!

Watu wengi waliofaulu kwa kukalili na kuuotea mtihani huwa wako hiv, akija huku kazin mbwembwe tupu..!!

Dogo jaza vyuo ulivyoshauriwa, ukishakuwa selected, utajaribu kufanya transfer chuo utachokipenda, ikishindikana bas usome utakakopata ..!!
 
Back
Top Bottom