I thought unaweza kuelewa kwa kupewa mfano mmoja kumbe bado, okay i'll have to treat you as a kid now.
Huo ni mfano mmoja kati ya mingi
unataka utajiwe Canossa, Kaizirege, Alpha, Eagles n. k
Wachache walikuwa na muamko wa elimu na wengi hawakupata support ya either wazazi au fedha. For instance kipindi hicho usome computer Science unakuta darasa lina watu wachache kwenye hiyo course "Apply computer science sasa hivi utajikuta ni mmoja kati y maelfu (Huo ni muamko wa elimu ninaouzungumzia)
Hiyo Makongo unayoizungumzia ni Historia 'kwani shule imekufa si ipo' lakini haivumi sio kwamba ni wabaya hapana bali wazuri ni wengi zaidi.... Na unavyozungumzia mchujo nitakutajia baadhi ya shule Pandahill, Swilla, Canossa, Alpha, Tusiime zote zinafanya mchujo ni performance yako itayokuvusha.
unapowataja sijui hao kina mtiga alikiwa anafundsha Mapambano Tuition, walimu kama kina Busanji wote bado wanafundisha unategmea watu wafeli?
Détermination ndiyo inayowafanya watoto wafaulu na sio BRN inafanya cha ajabu wala kutoa mitihani rahisi...
Kingine kwa nini nasema wana muamko wa elimu wanafunzi wanatengenezwa kisaikolojia, mfano shule kama Mazinde juu, Marian Boys', Tusiime wanafunzi wana mda maalumu kila siku kuongea na walimu wao na kupata wasaa wa kujadili mambo mbalimbali yanayohusu elimu.... usishangae wanafunzi wanatoka wamefaulu halafu unaanza kuiponda BRN...
Be Wise, Be Realistic, ......
Even English is a problem to you '' wait until when u grow up''.... i just don't want to comment anything bad about you..
But it was nice to argue with you, let me end here...
Don't Forget on 25th October to vote for ✌✌✌
Kadri mda unavyosonga mbele unazid kudhihirisha ukilaza wako, kwahiyo hizo shule zote 1.7 zilikuwa saba?
Alafu nimegundua kitu, wakati ww unaongea ulichohadithiwa mm nazugumzia nilichokiona, hapo ndipo tunapotofautiana,
Eti wazuri ni wengi zaid kuliko huko nyuma Ahahahaha! Kwa taarifa yako Makongo unayoiona sasa yamebaki majengo tu, ile shule ilikuwa bora enzi za Lt canal mstaafu Idd Kipingu, enzi hizo kabla ya kuingia tu fm I lazima mjaribiwe kwa mitihani ukifeli hauruhusiwi kujiunga na shule, nakumbka kulikuwaga na shift za kuingia kufanya mtihani wa kujiunga form 1 kuanzia saa 2 asbhi hadi 12 jioni kutokana na utitir wa walio taka kujiunga, ktka historia ya hiyo shule sisi ndo tuliweka record ambayo mpaka sasa haijavunjwa div 1 zaidi ya 60.
Baraza la mitihani kwa sasa limeshafuta hilo suala la mchujo kwa shule zote binafsi na serikali pia mwanafunzi una haki kulalamika endapo utapigwa panga na ukapewa haki yako,.
Hiyo Mazinde juu nina mjomba yangu anasoma hapo PCB, sasa binti analalamika anataka kuhama kwenda arts,baba yake ambaye ni mwal mkuu msaidiz shule moja ya serikali anamsisitiza akomae na PCB tu maana ana uhakika atafaulu kutokana na Mfumo wa BRN, Siku moja nilimuuliza hiv BRN inafanyaje fanyaje mpaka wanafunzi wanafaulu kirahisi rahisi tu, Akanijibu kwamba wao walimu wanapewa mikakati mingi kutoka juu ambayo kiuhalisia hayana impact yeyote kwenye performance ya mwanafunzi, yeye mwenyewe anashangaa wanafunzi wanatusua tu,
Dah! Kumbe ni mfuasi wa ukawa? I really regret wasting my energy arguing with such kind of person. .
Be prepared to attend inauguration ceremony at the National stadium after Oct 25 as Dr John Joseph Pombe Magufuri will be sworn as the next President Of The United Republic Of Tanzania.
Naomba namba zako ndg ninashida Mara moja nataka nikuulize privateVuta subira kijana na sisi mwaka Jana tulinyimwa kama wewe tukakaa nyumbani mwaka mzima.
Nmeaply muhas na nmechaguliwa hapo.
Now be patients waiting for next year.
Usihofie kupitwa ilimradi muda usikuache.!!
Nina waswas na IQ yakoDogo hakufikilia hilo, bora angeenda huko huko kwa wafanya biashara (kcmc, bugando, etc) asa hadi muhas anajaza dah ,hakuwa serious kabisa, haya mwache aumize kichwa sasa akili imkae kwanza,
Nina wasiwasi na IQ yakoNani amekwambia Medicine tunataka vilaza, tofautisha mapenzi na uwezo ,unamapenz na MD ila huna uwezo wakusoma MD ,akili zako ni ndogo mdogo wangu, MD ni akili kubwa huku.
waliochaguliwa st.joseph na matokeo ya credut MD waliambiwa wachague course nyngn,so walibaki kuanzia merit tu mdogo wangu ni muhanga wa hlo alkua na gpa ya 2.7sema familia hazna uwezo kuna vilaza weng tu wameenda IMTU,KIU na st.joseph...na GPA zao 1.7 huku waliopata GPA 3.0 familia zao hazwez kumudu gharama za prvate
Nani amekwambia Medicine tunataka vilaza, tofautisha mapenzi na uwezo ,unamapenz na MD ila huna uwezo wakusoma MD ,akili zako ni ndogo mdogo wangu, MD ni akili kubwa huku.