Dogo huna unachojua unaaandika pumba tu, badala ya kuzungumzia Overall performance unatoa mifano ya shule moja moja, hizo 1.7 kwa Tz nzima zilikuwa ngap?
Unaposema shule zimejizatiti kwa wanafunz wao kisha unatoa mfano wa kuanzishwa Marian Boys So huko ndo kujizatiti? Poor you!....
Eti vijana wa BRN wana muhamko na elimu! Kwahiyo wa huko nyuma walikuwa hawana muhamko sio, walikuwa hawajisomei, hawaendi tuition? Eti niende maktaba! Hiyo maktaba ina maana wa miaka ya nyuma walikuwa hawaitumii ndo nyinyi mmeanza kuitumia sio? Poor you! Again!
Kwa taarifa yako hakuna kipindi kilichokuwa na walimu Wakali wa tuition kama huko nyuma kuna Mkandawile, Mchwampaka, Musa, Mtiga and the likes.
Na kingine kama ulikuwa hufaham zamani kulikuwa na mchujo mkali NECTA, fm II ukishindwa kufikisha 30% unarudia darasa, tena kwa shule kama Makongo ilikuwa bila 50% hujavuka darasa,toka BRN ianzishwe hayo hayapo, kwa sasa mnaenda enda tu Kama nyumbu mbugani, hiyo ni moja ya mikakati iliyowafanya wanafunzi wajitume na sio blah blah unazoongelea ww sijui kwenda na madaftar kwenye sports grounds,
This is too low for u idiot! wait until when u grow up then U'll be in a position to understand what I'm trying to emphasize here... I'm very sad to say that ur brain is full of heavy mucus that's why u ave low thinking capacity.
I thought unaweza kuelewa kwa kupewa mfano mmoja kumbe bado, okay i'll have to treat you as a kid now.
Huo ni mfano mmoja kati ya mingi
unataka utajiwe Canossa, Kaizirege, Alpha, Eagles n. k
Wachache walikuwa na muamko wa elimu na wengi hawakupata support ya either wazazi au fedha. For instance kipindi hicho usome computer Science unakuta darasa lina watu wachache kwenye hiyo course "Apply computer science sasa hivi utajikuta ni mmoja kati y maelfu (Huo ni muamko wa elimu ninaouzungumzia)
Hiyo Makongo unayoizungumzia ni Historia 'kwani shule imekufa si ipo' lakini haivumi sio kwamba ni wabaya hapana bali wazuri ni wengi zaidi.... Na unavyozungumzia mchujo nitakutajia baadhi ya shule Pandahill, Swilla, Canossa, Alpha, Tusiime zote zinafanya mchujo ni performance yako itayokuvusha.
unapowataja sijui hao kina mtiga alikiwa anafundsha Mapambano Tuition, walimu kama kina Busanji wote bado wanafundisha unategmea watu wafeli?
Détermination ndiyo inayowafanya watoto wafaulu na sio BRN inafanya cha ajabu wala kutoa mitihani rahisi...
Kingine kwa nini nasema wana muamko wa elimu wanafunzi wanatengenezwa kisaikolojia, mfano shule kama Mazinde juu, Marian Boys', Tusiime wanafunzi wana mda maalumu kila siku kuongea na walimu wao na kupata wasaa wa kujadili mambo mbalimbali yanayohusu elimu.... usishangae wanafunzi wanatoka wamefaulu halafu unaanza kuiponda BRN...
Be Wise, Be Realistic, ......
Even English is a problem to you '' wait until when u grow up''.... i just don't want to comment anything bad about you..
But it was nice to argue with you, let me end here...
Don't Forget on 25th October to vote for ✌✌✌