TCU mnajichanganya, angalia hapa

TCU mnajichanganya, angalia hapa

Kijana kama umepata A E E we nenda kalime tu... Sasa huoni kama baadhi ya kozi ambazo huitaji walau D mbili za masomo ya A level utazisikilizia redion... Acha kujichanganya kinachohitajika ni ni D mbili achana na point zako hizo.... Kama ni pointi mbona humtetei MTU ambae kapata A F F ambayo kimsingi ni pointi 5

Nenda kaangalie ufafanuzi walioutoa TCU kuhusu huo utata nliouhoji then uje ufute hiki ulichoandka
 
Habari za weekend wakuu..

Ufafanuzi unahitajika hapa, hivi hoja ya msing ya TCU ni angalau D mbili au angalau point 4.0? Au vyote? Tazama huo mfano

1) Mtu mwenye D D E anakua na points 5 (dvn 3 pnt 13) na anakua nasifa ya kwenda chuo kikuu (kwa mujibu wa rank za waliomaliza 2014 kurudi nyuma)

2) Same case mtu mwenye A E E anakua na points 7 dvn 2 pnt 11) lakin hana sifa ya kujiunga na chuo kikuu

Naomba kujua ipi hoja ya msingi kati ya D mbili au point 4.0?

Mana ukiangalia hapo juu huyo mtu mwenye A E E ana division 2 ya point 11 kafaulu zaid ya huyo wa kwanza ambae ana division 3 ya point 13

Lakini cha kushangaza mwenye sifa ya kwenda chuo kikuu ni huyo mwenye 3 ndo anastahili, hii iko sawa kweli?

I STAND TO BE CORRECTED
Wametoa ufafanuzi kwenye page yao leo kaangalie
 
mkuu D=4 kwahyo D mbil ni 8 ukigawanya kwa mbil ndio inakuja 4 wanayo itaka

NB: A-1 B-2 C-3 D-4 E-5 S-6 F-7

hivyo mwenye AEE sawa na 1+5=6 ukigawanya kwa mbili ana 3.0 hivyo hafikia kiwango

na mwenye DDF sawa na 4+4=8 ukigawanya ni 4.0 hivyo kafaulu

nadhan umeelewa
 
Habari wana jamvi humu, naomba kuuliza mbona website ya Nacte tangia juzi haifunguki yaani Hata ukitaka ku log in ili kuangalia application process haiwezekani.
Labda tatizo nini hapo jamani!
 
Hivi yule mwanafunzi wa Kwanza form 6 ana point ngapi vile
 
pitia vigezo kwa umakini wamekuambia atleast cut of point ya 4.0 na principle pass 2,maana yake upate angalau kuanzia D kuendelea had (D had A ndo princ pass) kwenye masomo mawili,ikitokea una prnc pass ya somo 1 na umefikia cut of point ya 4.0 hapo hauna kigezo bcoz tyr una principl pass 1
TCU hawajajichanganya mana kwenye maelekezo wamesema ni MINIMUN TWO PRINCIPAL PASS ambazo ndo kuanzia D mbili and above so ukiwa na AEE unakuwa huna two principal pass.
Inabidi uangalie kama anacutt-off point 5 au 7 je ana principal pass ngapi?kama anazo mbili watamchukua ila kama anayo moja hawawezi kumchukua,ndio maana wakasema atleast two minimun principal pass.
Kama unashindwa kuelewa maelekezo yote haya waliyokupa hawa watu...
Wewe ni lile JINA ambalo ukiandika humu jukwaani zinatokea NYOTA kadhaa..!
 
wana jukwaa habali za mapumziko?kwa upande wangu naomba kujuzwa kua kwa mtu aliemaliza kitado cha sita mwaka 2014 akatapa C,D,D.je kwa mujibu wa TCU ana vigezo vya kuomba chuo kikuu?
Habali=>habari
Kitado=>kidato
Jibu:HAPANA
Ushauri:Asikate tamaa...
 
mkuu D=4 kwahyo D mbil ni 8 ukigawanya kwa mbil ndio inakuja 4 wanayo itaka

NB: A-1 B-2 C-3 D-4 E-5 S-6 F-7

hivyo mwenye AEE sawa na 1+5=6 ukigawanya kwa mbili ana 3.0 hivyo hafikia kiwango

na mwenye DDF sawa na 4+4=8 ukigawanya ni 4.0 hivyo kafaulu

nadhan umeelewa

Unajichanganya kati ya point za madaraja na zile za cutoff point

A E E ni sawa na 5 + 1 + 1 = 7

Mind you kwenye cutoff points A ni sawa na 5 na kwenye madaraja (divisions) A ni sawa na 1 and vice versa is true kwa B, C , D na E
 
mkuu D=4 kwahyo D mbil ni 8 ukigawanya kwa mbil ndio inakuja 4 wanayo itaka

NB: A-1 B-2 C-3 D-4 E-5 S-6 F-7

hivyo mwenye AEE sawa na 1+5=6 ukigawanya kwa mbili ana 3.0 hivyo hafikia kiwango

na mwenye DDF sawa na 4+4=8 ukigawanya ni 4.0 hivyo kafaulu

nadhan umeelewa

Wewe bwana mdogo,yani unapotosha wenzio kwa kujiamini kabisa

Mtu mwenye AEE ana point tatu,kweli? Minimum points na grading za division ni tofauti na zinaenda in opposite direction
 
Haya TCU washatoa ufafanuzi juu dhidi ya huo utata nliouhoji! na huyo mtu mwenye A E E ana sifa za kwenda chuo kikuu kwa mujib wa ufafanuzi wao..ROPOKA tena
Walichofanya TCU ni kuondoa principle marks ambazo ni D mbili,ili uwe na sifa za kwenda chuo kikuu lazima uwe na pts nne ktk masomo yako.

NECTA WAMETOA UTARATIBU E SIO PRINCIPLE NI PASS PRINCIPLE INAANZIA D
 
Si kweli ulichoandika. Weka bandiko hapa ulilotumia.
 
MTU kufail form six tena masomo ya Art ni uzembe uliopituliza.....
Kwa taarifa yako, masomo ya sayansi ni rahisi kufaulu kuliko arts. Arts inahitaji uwezo wa kumshawishi msahihishaji akupe alama nyingi, ambapo sio rahisi kupata alama zote au robo 3 ya alama hizo.

Sayansi sehemu kubwa ni facts, no blabla. 4.4 + 5.6 + 10 = 20
 
1468728052339.jpg
 
Kwa taarifa yako, masomo ya sayansi ni rahisi kufaulu kuliko arts. Arts inahitaji uwezo wa kumshawishi msahihishaji akupe alama nyingi, ambapo sio rahisi kupata alama zote au robo 3 ya alama hizo.

Sayansi sehemu kubwa ni facts, no blabla. 4.4 + 5.6 + 10 = 20
 
Wewe bwana mdogo,yani unapotosha wenzio kwa kujiamini kabisa

Mtu mwenye AEE ana point tatu,kweli? Minimum points na grading za division ni tofauti na zinaenda in opposite direction
Acha adanganye wadanganyika.
 
Back
Top Bottom