Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 454
- Thread starter
- #101
Kijana kama umepata A E E we nenda kalime tu... Sasa huoni kama baadhi ya kozi ambazo huitaji walau D mbili za masomo ya A level utazisikilizia redion... Acha kujichanganya kinachohitajika ni ni D mbili achana na point zako hizo.... Kama ni pointi mbona humtetei MTU ambae kapata A F F ambayo kimsingi ni pointi 5
Nenda kaangalie ufafanuzi walioutoa TCU kuhusu huo utata nliouhoji then uje ufute hiki ulichoandka
