TCU mnajichanganya, angalia hapa

TCU mnajichanganya, angalia hapa

Wapi na lini TCU wamesema E siyo principle?
3.0. New Minimum Admission Entry Qualifications
In view of such concerns, the Commission has decided to raise the
threshold for the minimum entry points for admission to university
education. Thus from the 2016/2017 academic year, the new Minimum
Admission Entry Qualifications for Undergraduate Students shall now be as
follows:
NO. CATEGORY OF
APPLICANTS
MINIMUM ADMISSION ENTRY QUALIFICATIONS
1. Completed A-Level
studies before 2014
Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0
points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).
2. Completed A-Level
studies in 2014 and
2015
Two principal passes (Two Cs) with a total of 4.0
points (where A = 5; B+ = 4; B = 3; C= 2; D = 1).
3. Completed A –Level
studies from 2016
Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0
points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).
4. Recognition of Prior
Learning
qualification
B+ Grade: where A =75-100, B+ = 65-74, B=50-64,
 
Kuna mambo ukiyatafakari unapatwa na Mtindio wa Ubongo
Hili nalo ni mojawapo kati ya hayo mambo
 
kinachoangaliwa ni ufikishe point 4 sio lazima point hizo 4 zipatikane kwa D mbili inaweza ikawa kwa CEE hivi ndivyo itakavyokuwa by the way soon next week Guide book itatoka utapata uchambuzi mzuri sana

Kama itakua hvyo hakuna matata, ila tofauti na hapo mfumo hauko sawa' nashukuru umeielewa hoja yang cyo kama wachangiaj wengne wanao amin katika kubishana na ujuaji..huku wakiamin kuhoji swala hilo maana yake nawewe ni mhanga.
 
3.0. New Minimum Admission Entry Qualifications
In view of such concerns, the Commission has decided to raise the
threshold for the minimum entry points for admission to university
education. Thus from the 2016/2017 academic year, the new Minimum
Admission Entry Qualifications for Undergraduate Students shall now be as
follows:
NO. CATEGORY OF
APPLICANTS
MINIMUM ADMISSION ENTRY QUALIFICATIONS
1. Completed A-Level
studies before 2014
Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0
points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).
2. Completed A-Level
studies in 2014 and
2015
Two principal passes (Two Cs) with a total of 4.0
points (where A = 5; B+ = 4; B = 3; C= 2; D = 1).
3. Completed A –Level
studies from 2016
Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0
points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).
4. Recognition of Prior
Learning
qualification
B+ Grade: where A =75-100, B+ = 65-74, B=50-64,
Nashangaa sijui kwa nini hawa watoto hawaelewi hili swala, kikubwa katika kujiunga na elimu ya juu ni principle passes 2, zamani principle pass ilikuwa ni E ambayo ni sawa na pointi 1 so points 2 zinakupekeka chuo (sio vyuo vyote, hapo ndo linakuja swala la hizo cut points, kuna chuo ambacho cut points zake ni 5 so hata ungekuwa na hizo D mbili zamani hungeweza kusoma pale...
 
Humu tunapotoshana sana utadhan hatujasoma ngoja tusubiri TCU watoe muongozo haiwezekani mwenye dv 2 anaachwa mwenye 3 anachaguliwa.
 
TCU hawajajichanganya mana kwenye maelekezo wamesema ni MINIMUN TWO PRINCIPAL PASS ambazo ndo kuanzia D mbili and above so ukiwa na AEE unakuwa huna two principal pass.
 
TCU hawajajichanganya mana kwenye maelekezo wamesema ni MINIMUN TWO PRINCIPAL PASS ambazo ndo kuanzia D mbili and above so ukiwa na AEE unakuwa huna two principal pass.

Kwahyo mwenye two tena ana cutoff points 7 hana sifa ya kwenda chuo kikuu halafu mwenye three ambae ana cutoff points 5 ndo anakua na sifa ya kwenda chuo kikuu?
 
pitia vigezo kwa umakini wamekuambia atleast cut of point ya 4.0 na principle pass 2,maana yake upate angalau kuanzia D kuendelea had (D had A ndo princ pass) kwenye masomo mawili,ikitokea una prnc pass ya somo 1 na umefikia cut of point ya 4.0 hapo hauna kigezo bcoz tyr una principl pass 1
 
kinachoangaliwa ni ufikishe point 4 sio lazima point hizo 4 zipatikane kwa D mbili inaweza ikawa kwa CEE hivi ndivyo itakavyokuwa by the way soon next week Guide book itatoka utapata uchambuzi mzuri sana
Watu mnaponzana 4 points katika two principles pass DD wewe mponze mwenzio
 
Nadhani yote ni sahihi, cha muhimu jufikisha point 4 bila fail au s,eg.A & E ,B & E A etc. D D wametoa kama mfano wa kuleta point 4 ni mawazo yangu maana ni kweli hamna ufafanuzi wa kutosha
 
Humu tunapotoshana sana utadhan hatujasoma ngoja tusubiri TCU watoe muongozo haiwezekani mwenye dv 2 anaachwa mwenye 3 anachaguliwa.
Uliliona tangazoLA wiki hii LA TCU?? ulilisoma?? ulilielewa??
 
Kwahyo mwenye two tena ana cutoff points 7 hana sifa ya kwenda chuo kikuu halafu mwenye three ambae ana cutoff points 5 ndo anakua na sifa ya kwenda chuo kikuu?
Inabidi uangalie kama anacutt-off point 5 au 7 je ana principal pass ngapi?kama anazo mbili watamchukua ila kama anayo moja hawawezi kumchukua,ndio maana wakasema atleast two minimun principal pass.
 
Jaman waungwana mm nimemaliza diploma nina GPA ya 2.8 nimesoma social work, form four nilikuwa na D4 je sina vigezo vya kuendelea na degree kwan hz taarifa za TCU zimenikatisha tamaa sana, Japo cc tuliomaliza diploma huwa tuna apply kupitia NACTE bt according to TCU wanasema application zote tufanye kwao nimechanganyikiwa kabisaaa Please naomben uelewa wenu juu ya hili.
 
Jaman waungwana mm nimemaliza diploma nina GPA ya 2.8 nimesoma social work, form four nilikuwa na D4 je sina vigezo vya kuendelea na degree kwan hz taarifa za TCU zimenikatisha tamaa sana, Japo cc tuliomaliza diploma huwan tuna apply kupitia NACTE bt according to TCU wanasema application zote tufanye kwao nimechanganyikiwa kabisaaa Please naomben uelewa wenu juu ya hili.
 
Kama itakua hvyo hakuna matata, ila tofauti na hapo mfumo hauko sawa' nashukuru umeielewa hoja yang cyo kama wachangiaj wengne wanao amin katika kubishana na ujuaji..huku wakiamin kuhoji swala hilo maana yake nawewe ni mhanga.
Sasa kwenye CEE kuna D mbili hapo?
Yani hapo kimsingi umefaulu somo moja tuu!
D mbili zinahitajika kwenye masomo mawili tofauti!
 
Sasa kwenye CEE kuna D mbili hapo?
Yani hapo kimsingi umefaulu somo moja tuu!
D mbili zinahitajika kwenye masomo mawili tofauti!
Kimsingi umefaulu masomo 3 ta principal level lakini huna D2 za kuwa considered chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom