Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 454
- Thread starter
- #81
Tangazo la TCU lingeweza kuandikwa vizuri zaidi haya malumbano yasingetokea. Wasingeweka zile D2 au C2 kwenye mabano. Wangesema moja kwa moja kuwa ili ufikiriwe kudahiliwa angalau uwe na pricipal passes 2 kila moja ya kiwango cha D. Ni vizuri tujue kuwa principal passes huanzia E mpaka A. S ni subsidiary pass na F ndio hivyo tena. Hawakuweka uhusiano wa moja kwa moja wa point 4 za TCU na kigezo cha D. Sisi ndio tunaipa tafsiri D2=4. Wengine wanatafsiri tofauti CE=4 kama mchangiaji wa hapo juu. Hili TCU wangeliona na kuwa explicit. Wengine wamekwenda mbali zaidi na kusema E siyo principal pass-hii si kweli ndio maana ina point 1 za TCU. Ukisha kuwa na vigezo vya kufikiriwa kudahiliwa kwa mfano D2 au zaidi-watahesabu point zole ulizopata pamoja na E & S halafu watachagua accordingly. Tahadhari kuna program ambazo ili udahiliwe wataweka vigezo mahsusi kwa mfano Statistics lazima ufaulu hesabu kwa kiwango watakachoweka.
You said it all..Nashukuru sana mkuu umenielewa na hiyo ndo hoja yang, HAKUNA SEHEMU TCU wamekanusha kuwa E cyo principle pass ila walio wengi wanabisha2 bila hoja zenye mantiki'
