Inno laka
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,616
- 585
Yupo sahihi huwezi pata A....halafu una ma E E sijui.....inasikitishaKama kweli umepita shule huwez kutoa kauli hii

Hahhaha kumbe upo makini eeeeh hhhahahahaha mtaisoma namba garbage wewe jiandae kwenda global collegeGarbage, sasa A F F unamteteaje wakat ana principle moja? hyo hata kabla ya hvyo vigezo vipya alikua haendi coz hyo ni principle moja tu ndo anayo ila huyu mwenye A E E ana principle zote 3 ( A mpk E zote ni principle) au hujui? Af hyo A F F inakuaje point 5?
Yes bro..Inamana mwenye daraja la 2 hana sifa af mwenye 3 ana sifa iko sawa hiyo? kwa comon sense tu mkuu
S.Subsidiary.Sorry sikukuelewa mkuu principle D Lakini hiyo E kwa sasa sio principle kama matokeo ndo hayo diploma au reset
Wapi na lini TCU wamesema E siyo principle?
Muelekeze huyu jamaa kuwa chuo kikuu hatuhitaji wabahatishaji.Unajua maana ya cut off points?
Jijibu kwanza mwenye AAF na mwenye CCC o-level yupi ana sifa ya kwenda a-level
![]()
Hapo ndo TCU ndo waliposema mkuu tangazo LA wiki hii
Cutt of point nitofauti na hicho unachokishabikia.Muelekeze huyu jamaa kuwa chuo kikuu hatuhitaji wabahatishaji.
Inaonekana kuelewa mzito twende taratibu tu wanapoweka mabano wanamaanisha hiyo principle inayotakiwa mfano mwaka 2016 2Ds ndo kigezo mwaka 2015 2Cs ndo kigezo hebu soma ueleweMbona hakuna? Na wanaposema two principle passes af kwenye mabano wanasema "two Ds au two Cs" unaelewa nin wanakimaanisha?
Huenda walimu wa hayo masomo hawakuwepo au uwezo wa walimu hao ni mdogo.d mbili,hivi unapataje AEE hiyo A umebahatisha inaonekana hatuhitaji watu wakubahatisha...........
Jaribuni ufikiria sababu zilizopo nje ya uwezo wa mwanafunzi, mfano ukosefu wa walimu au kuwa na walimu wa mshahara.Yupo sahihi huwezi pata A....halafu una ma E E sijui.....inasikitisha
Habari za weekend wakuu..
Ufafanuzi unahitajika hapa, hivi hoja ya msing ya TCU ni angalau D mbili au angalau point 4.0? Au vyote? Tazama huo mfano
1) Mtu mwenye D D E anakua na points 5 (dvn 3 pnt 13) na anakua nasifa ya kwenda chuo kikuu (kwa mujibu wa rank za waliomaliza 2014 kurudi nyuma)
2) Same case mtu mwenye A E E anakua na points 7 dvn 2 pnt 11) lakin hana sifa ya kujiunga na chuo kikuu
Naomba kujua ipi hoja ya msingi kati ya D mbili au point 4.0?
Mana ukiangalia hapo juu huyo mtu mwenye A E E ana division 2 ya point 11 kafaulu zaid ya huyo wa kwanza ambae ana division 3 ya point 13
Lakini cha kushangaza mwenye sifa ya kwenda chuo kikuu ni huyo mwenye 3 ndo anastahili, hii iko sawa kweli?
I STAND TO BE CORRECTED
Hata mwenye AEE Naye ana principle moja maana principle inaanzia D na sio EGarbage, sasa A F F unamteteaje wakat ana principle moja? hyo hata kabla ya hvyo vigezo vipya alikua haendi coz hyo ni principle moja tu ndo anayo ila huyu mwenye A E E ana principle zote 3 ( A mpk E zote ni principle) au hujui? Af hyo A F F inakuaje point 5?
Asa kwa nini wengine wafaulu halafu ye asifanye vizuriJaribuni ufikiria sababu zilizopo nje ya uwezo wa mwanafunzi, mfano ukosefu wa walimu au kuwa na walimu wa mshahara.
Habari za weekend wakuu..
Ufafanuzi unahitajika hapa, hivi hoja ya msing ya TCU ni angalau D mbili au angalau point 4.0? Au vyote? Tazama huo mfano
1) Mtu mwenye D D E anakua na points 5 (dvn 3 pnt 13) na anakua nasifa ya kwenda chuo kikuu (kwa mujibu wa rank za waliomaliza 2014 kurudi nyuma)
2) Same case mtu mwenye A E E anakua na points 7 dvn 2 pnt 11) lakin hana sifa ya kujiunga na chuo kikuu
Naomba kujua ipi hoja ya msingi kati ya D mbili au point 4.0?
Mana ukiangalia hapo juu huyo mtu mwenye A E E ana division 2 ya point 11 kafaulu zaid ya huyo wa kwanza ambae ana division 3 ya point 13
Lakini cha kushangaza mwenye sifa ya kwenda chuo kikuu ni huyo mwenye 3 ndo anastahili, hii iko sawa kweli?
I STAND TO BE CORRECTED
Akiulizwa atakuwa na majibu ya swali lakoAsa kwa nini wengine wafaulu halafu ye asifanye vizuri
MTU kufail form six tena masomo ya Art ni uzembe uliopituliza.....Akiulizwa atakuwa na majibu ya swali lako