Na maanisha ufaulu wa kwenda chuoKimsingi umefaulu masomo 3 ta principal level lakini huna D2 za kuwa considered chuo kikuu.
Nimeingia huko huko, wewe unafikiri kwa nini NECTA inasema ukipata E (2016) performance yako ni satisfactory na TCU wanaipa point moja. E iko juu ya S ambayo ni subsidiary pass vinginevyo wangeifuta. Ni kwamba E kama E haihesabiwi kwenye minimum qualification ya kudahiliwa chuo. Lakini ukweli huo haufuti kuwa among the principle passesPole sana mdau principle pass ni D mbili ukitaka ingia Web site ya TCU
Pole mkuu huwezi kwenda chuo ungepitia form 6 ningekushauri ureset ila kwa nyie wa diploma sijui huwa wanafanya niniJaman waungwana mm nimemaliza diploma nina GPA ya 2.8 nimesoma social work, form four nilikuwa na D4 je sina vigezo vya kuendelea na degree kwan hz taarifa za TCU zimenikatisha tamaa sana, Japo cc tuliomaliza diploma huwa tuna apply kupitia NACTE bt according to TCU wanasema application zote tufanye kwao nimechanganyikiwa kabisaaa Please naomben uelewa wenu juu ya hili.
Na maanisha ufaulu wa kwenda chuo
Kuna point za aina mbili zile za NECTA A ni 1 na zile za TCU wanazotumia kudahili watu A ni point 5.Garbage, sasa A F F unamteteaje wakat ana principle moja? hyo hata kabla ya hvyo vigezo vipya alikua haendi coz hyo ni principle moja tu ndo anayo ila huyu mwenye A E E ana principle zote 3 ( A mpk E zote ni principle) au hujui? Af hyo A F F inakuaje point 5?
Mmnh mkuu sijakupinga hata point moja unavosema wanachosema tcu kwa mwaka huu ni D mbili mkuu sio kwamba nmeamua tu kukupingaNimeingia huko huko, wewe unafikiri kwa nini NECTA inasema ukipata E (2016) performance yako ni satisfactory na TCU wanaipa point moja. E iko juu ya S ambayo ni subsidiary pass vinginevyo wangeifuta. Ni kwamba E kama E haihesabiwi kwenye minimum qualification ya kudahiliwa chuo. Lakini ukweli huo haufuti kuwa among the principle passes
dah hyo sio mifanoNadhani yote ni sahihi, cha muhimu jufikisha point 4 bila fail au s,eg.A & E ,B & E A etc. D D wametoa kama mfano wa kuleta point 4 ni mawazo yangu maana ni kweli hamna ufafanuzi wa kutosha
umemuelewa kweli wewe?Wewe muongo tu ukipata AEE ni point 13
A=1 B+=2 B=3 C=4 D=5 E=6 F=7 kwa mwaka 2014 haya njoo na hesabu zako
Kinachoangaliwa ni principal pass na points kama umefksha vyote hvyo unaingia chuo kkuuKijana kama umepata A E E we nenda kalime tu... Sasa huoni kama baadhi ya kozi ambazo huitaji walau D mbili za masomo ya A level utazisikilizia redion... Acha kujichanganya kinachohitajika ni ni D mbili achana na point zako hizo.... Kama ni pointi mbona humtetei MTU ambae kapata A F F ambayo kimsingi ni pointi 5
Hizo sio points za TCU n za NECTA. Za TCU ni A-5 B-4 C-3 D-2 E-1Wewe muongo tu ukipata AEE ni point 13
A=1 B+=2 B=3 C=4 D=5 E=6 F=7 kwa mwaka 2014 haya njoo na hesabu zako
Nakupata lakini mnawachanganya madogo wasije wakaona E haifai kwa lolote.
Nilisharekebisha mkuuumemuelewa kweli wewe?
Tangazo la TCU lingeweza kuandikwa vizuri zaidi haya malumbano yasingetokea. Wasingeweka zile D2 au C2 kwenye mabano. Wangesema moja kwa moja kuwa ili ufikiriwe kudahiliwa angalau uwe na pricipal passes 2 kila moja ya kiwango cha D. Ni vizuri tujue kuwa principal passes huanzia E mpaka A. S ni subsidiary pass na F ndio hivyo tena. Hawakuweka uhusiano wa moja kwa moja wa point 4 za TCU na kigezo cha D. Sisi ndio tunaipa tafsiri D2=4. Wengine wanatafsiri tofauti CE=4 kama mchangiaji wa hapo juu. Hili TCU wangeliona na kuwa explicit. Wengine wamekwenda mbali zaidi na kusema E siyo principal pass-hii si kweli ndio maana ina point 1 za TCU. Ukisha kuwa na vigezo vya kufikiriwa kudahiliwa kwa mfano D2 au zaidi-watahesabu point zole ulizopata pamoja na E & S halafu watachagua accordingly. Tahadhari kuna program ambazo ili udahiliwe wataweka vigezo mahsusi kwa mfano Statistics lazima ufaulu hesabu kwa kiwango watakachoweka.Nadhani yote ni sahihi, cha muhimu jufikisha point 4 bila fail au s,eg.A & E ,B & E A etc. D D wametoa kama mfano wa kuleta point 4 ni mawazo yangu maana ni kweli hamna ufafanuzi wa kutosha
kwa alivyomaanisha yeye A=1 B=2 C=3 D=4 E=5 F=6 S=7Wewe muongo tu ukipata AEE ni point 13
A=1 B+=2 B=3 C=4 D=5 E=6 F=7 kwa mwaka 2014 haya njoo na hesabu zako