TCRA Tanzania kwa haya yanayofanywa na kampuni ya Vodacom Tanzania kwa wateja wanaotumia simu janja yako sawa?

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
888
821
TCRA tanzania, naomba mnisaidie kujua kama mambo yanayofanywa na kampuni ya simu ya vodacom tanzania nisahii! Nakama nisahii mtupe ufafanuzi, kama siyo sahihi mkomeshe jambo hili na muwaagize warudishe gharama tulizotumia katika huduma ambayo kimsingi ni haki kwa mteja kuipata bila gharama yoyote.

MAMBO YENYEWE .
1. Ukiwa mtumiaji wa simu janja hupati huduma ya wateja kwa kuongea na mtoa huduma wa vodacom (costommer care) badala yake unapewa kiungo cha kuwasiliana nao kwa njia ya watssap, na huduma hii usipokuwa na bando la internet ujue hutapata huduma, je! Hii nisawa?

2. Huduma hii ya watssap lazima ujue kusoma na kuandika, kwa maana hiyo siyo wte wanaotumia sim janja wanajua kusoma na kuandika au wamejiunga facebook, tweeter,instagram, au watssap kama mashart yao wanayoyatoa ukipiga no.100.

3. Mawasiliano kwa njia hii ya mitandao ya kijamii inatumia bando la internet kwani bila bando huwezi pata huduma hizi.

4.Hupati msaada kwa wakati tofauti na kuongea na mtoa huduma moja kwa moja.

5. Watoa huduma wanatumia mda mrefu kukusaidia kwa kukuhoji vitu nusu nusu ili mjadara uwe mrefu kwalengo la kutumia bando zako ili wajipatie kipato ktk huduma ambayo kimsingi inatakiwa itolewe bule.

6. Kampuni ya vodacom kuwa inagawa namba zetu kwa watu wanaofanya nao biashara nakuruhusu watu hao kuwa wanatuma matangazo yao kwenye line ambayo naimiliki mteja kisheria, Nimeinunua mwenyewe, naharuhusiwi mtu mwingine yeyote,Taasisi wala kikundi chochote kupewa namba yangu bila ridhaa yangu, nakuanza kuweka matangazo yao tena mengine hovyo kabisa na kupelekea watu kutapeliwa eti NAMBA YAKO IMESHINDA SH. KADHAA TUMA NENO FRANI KWENDA mf.5545 bule nabaadae wanaanza kula pesa kila unapoweka salio.
kiujumla kuna matatizo mengi ila
kwa kuanzia mnipe majibu haya.

Hoja hizi nawasilisha kwenu TCRA kwakuwa nimelalamika sana voda bila msaada wowote, hivyo naomba mnijibu kwa kila hoja kuanzia no.1-6.

Ahsante

Enzi na Enzi
Dar es salaam
27jun2020
 
Ilo swali la namba 6 kwa kweli. Limezidi yani, unakuta toka asubuh hujapata text yeyote ya maana na vyuma kila kona vimekaza unashangaa sms inaingia ya..

NAMBA YAKO IMETEULIWA KUSHINDA ML5

Japo sio wote wanaoamini,ila wa Tanzania wengi tuna amini na tunaishi maisha kwa mfumo wa kubet yan kubahatisha

Sivyema kabisa wanachotufanyia, kila mtu anashida zake kibao tu sio kwa sms hizo za kututamanisha unajikuta unaingia kingi bila kupenda.
 
Ilo swali la namba 6 kwa kweli. Limezidi yani, unakuta toka asubuh hujapata text yeyote ya maana na vyuma kila kona vimekaza unashangaa sms inaingia ya..

NAMBA YAKO IMETEULIWA KUSHINDA ML5

Japo sio wote wanaoamini,ila wa Tanzania wengi tuna amini na tunaishi maisha kwa mfumo wa kubet yan kubahatisha

Sivyema kabisa wanachotufanyia, kila mtu anashida zake kibao tu sio kwa sms hizo za kututamanisha unajikuta unaingia kingi bila kupenda.
Yaani wanaudhi sana. Ukikosea tu ukafuata salio lako lako linakatwa. Inaudhi sana
 
Vyuma vimekaza lakini unakuta mtu hata asiyekuwa na kazi anamiliki simu, ananunua vocha sijui hata simu zina nini hadi kuwa kama roho za watu.

Mjini mnalalamikia voda, vijijini wanalalamikia tigo.
 
Back
Top Bottom