TCRA naomba msaada wenu, nimetapeliwa mchana huu

Wakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380.

Nikachanganyikiwa mno kwani mwanangu kweli yupo skuli Arusha 'boarding', nikampigia huyo jamaa na kuzidi niambia kuwa eti ana malaria ya muda mrefu na kwamba kadi yake ya Bima ya afya hawajaiona halafu akaniunganisha na daktari. Daktari kaniambia panatakiwa chupa ya maji haraka na nitume sh 57,500/=, sikuwa na ajizi nikatuma sh 60,000/= kupitia M-Pesa ndipo nikafahamu jina la huyo mwalimu tapeli kuwa ni Beatus Lyandungwe.

Alipopata hiyo pesa akanipigia na kuniambia kuwa pana majibu ya vipimo vya damu na harakaharaka akanipa tena huyo daktari (tapeli) na kuniambia damu ya mtoto haina tatizo (kumbuka hapo mwanzo aliniambia mtoto ana malaria) ila kwa kuwa kavuja damu nyingi baada ya kuanguka hivo chupa mbili za damu zinatakiwa na kwambi kila chupa ni sh 60,000/=.

Hapo nikasituka na kuamua kumpigia mwalimu mkuu, yeye akasangaa na kunipa pole ya kutapeliwa.

Voda nilipowapigia wakanitaarifu jamaa kesha toa hiyo sitini.

Mkuu wewe tapeliwa tuu mana hamna namna! au umeleta chai hapa.. mana hilo jambo na huo utapeli ulishaongelewa hapa na pia hata mitandao ya kijamii na mawhatsapp ilizunguka sana huo utapeli, Sasa unawalilia TCRA wa nn
 
Mkuu mwanaume pindi upatapo tatizo si vizuri kupanic, jitahidi kuwa mtulivu ufanye maamuzi sahihi.
 
Wakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380.

Nikachanganyikiwa mno kwani mwanangu kweli yupo skuli Arusha 'boarding', nikampigia huyo jamaa na kuzidi niambia kuwa eti ana malaria ya muda mrefu na kwamba kadi yake ya Bima ya afya hawajaiona halafu akaniunganisha na daktari. Daktari kaniambia panatakiwa chupa ya maji haraka na nitume sh 57,500/=, sikuwa na ajizi nikatuma sh 60,000/= kupitia M-Pesa ndipo nikafahamu jina la huyo mwalimu tapeli kuwa ni Beatus Lyandungwe.

Alipopata hiyo pesa akanipigia na kuniambia kuwa pana majibu ya vipimo vya damu na harakaharaka akanipa tena huyo daktari (tapeli) na kuniambia damu ya mtoto haina tatizo (kumbuka hapo mwanzo aliniambia mtoto ana malaria) ila kwa kuwa kavuja damu nyingi baada ya kuanguka hivo chupa mbili za damu zinatakiwa na kwambi kila chupa ni sh 60,000/=.

Hapo nikasituka na kuamua kumpigia mwalimu mkuu, yeye akasangaa na kunipa pole ya kutapeliwa.

Voda nilipowapigia wakanitaarifu jamaa kesha toa hiyo sitini.

Rais wangu Magufuli una kazi kubwa sana...!!
 
Ukiacha kumtolea Mungu sadaka anatoboa mfuko kiaina yake kama hivyo, au inakuwa kweli mtoto ni mgonjwa ili mfuko uvuje, tunzia kwa Mungu vitu vyako, Mathayo 6:19_21
Pole, Ahsante!
 
Wakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380.

Nikachanganyikiwa mno kwani mwanangu kweli yupo skuli Arusha 'boarding', nikampigia huyo jamaa na kuzidi niambia kuwa eti ana malaria ya muda mrefu na kwamba kadi yake ya Bima ya afya hawajaiona halafu akaniunganisha na daktari. Daktari kaniambia panatakiwa chupa ya maji haraka na nitume sh 57,500/=, sikuwa na ajizi nikatuma sh 60,000/= kupitia M-Pesa ndipo nikafahamu jina la huyo mwalimu tapeli kuwa ni Beatus Lyandungwe.

Alipopata hiyo pesa akanipigia na kuniambia kuwa pana majibu ya vipimo vya damu na harakaharaka akanipa tena huyo daktari (tapeli) na kuniambia damu ya mtoto haina tatizo (kumbuka hapo mwanzo aliniambia mtoto ana malaria) ila kwa kuwa kavuja damu nyingi baada ya kuanguka hivo chupa mbili za damu zinatakiwa na kwambi kila chupa ni sh 60,000/=.

Hapo nikasituka na kuamua kumpigia mwalimu mkuu, yeye akasangaa na kunipa pole ya kutapeliwa.

Voda nilipowapigia wakanitaarifu jamaa kesha toa hiyo sitini.
Siku zote wasiloana na uongozi wa shule kwa namba rasmi ya shule
 
jaman mi mwenyewe leo nimelizwa 30000 Na mobistock huwa ni kawaida napotaka kifurushi cha mwezi nanunua Salio Na kuliweka Kwenye akaunti ya mobistock then naituma kwenda halotel Kama muda wa maongezi cha ajabu leo kila nikipiga *150*33# naambiwa namba hii imeondolewa kwenye huduma
 
acha uboya we ina maana huo wizi hukuwahi kuusikia hata kwenye taarifa ya habari?
na mtazidi kuibiwa kila Siku
umeniuzi sana bora hiyo pesa ungetoa sadaka tu
Kumsamehe aliyemtapeli kuna manufaa kwake kuliko kutoa sadaka
Kama unataka apate ujira kwa kutoa sadaka mshauri amsamehe aliyemtapeli maanake atapata faida kubwa zaidi
 
daah sawa mkuu tatizo nae alipaniki sana
 
Matukio kama haya yapo sana hukutaka tu kuthibitisha kwanza na mkuu wa shule angali namba unazo
 
Ila kuna watu zikiwekwa nyuzi za tahadhari hawapendagi kusoma wanachukuliaga ni bibonzo tu..
 
jaman mi mwenyewe leo nimelizwa 30000 Na mobistock huwa ni kawaida napotaka kifurushi cha mwezi nanunua Salio Na kuliweka Kwenye akaunti ya mobistock then naituma kwenda halotel Kama muda wa maongezi cha ajabu leo kila nikipiga *150*33# naambiwa namba hii imeondolewa kwenye huduma
Hiyo mobistock ndiyo mdudu gani tena jamani?
 
Ndo maana wanaendelea kusumbua jamii na sms za utapeli kumbe wanapata kwa watu, siku nyingine ukitapeliwa iwe siri yako maana kipinsi hiki cha kelele nyingi za matapeli umeshindwa kuwahoji hata maswali machache kama mwanao anasoma shule gani, jinsia nk.
 
acha uboya we ina maana huo wizi hukuwahi kuusikia hata kwenye taarifa ya habari?
na mtazidi kuibiwa kila Siku
umeniuzi sana bora hiyo pesa ungetoa sadaka tu
Nadhani hujafikia "levo" ya kuitwa Baba kwa maana ya ubaba kweli na si kumzalisha mtu!

Wazazi wenye watoto wanaosoma mbali na makazi yao wanaelewa vizuri upatapo taarifa za namna hii!
 
Back
Top Bottom