TCRA naomba msaada wenu, nimetapeliwa mchana huu

TCRA naomba msaada wenu, nimetapeliwa mchana huu

Mkuu, pana zile jumbe za kutumiwa pesa hizo nimezizowea lakini hii kwangu ndo imekuwa ya kwanza na sijapata isikia.
Yaani no. Ya mkuu Wa shule ulikuwa nayo kwa mini usimpigie yeye kwanza?. Na kama mtoto yupo boarding namba ya kwanza kuwa nayo ni ya matron au patron. Shida mnatanguliza hisia kali kwenye matukio. Kwa staili hiyo watawapiga wengi sana
 
Wewe ndo ulikosea. Kumbe namba ya mwalimu mkuu ulkua nayo.
 
juzi mzazi fulan alitumiwa hiyo meseji na huyo mtu akajifanya nimwalimu na kataja jina la mwalimu na la mtoto akidai kua mtoto kazidiwa sana, ghafla mzaz kachukua bodaboda kaja shuleni nakilio juu akidai mwanae yupo hoi nikamwambia mbona hakuna mtoto alieanguka nkamwita mwanae ghafla akaanza kucheka tukampa elimu kua hao ni matapeli
 
Kiufupi kwenye mambo kama haya tcra wapo bussy kutafuta csoid brown kapost nini.

Hapo utafuatilia miaka nenda rudi na gharama utazidi hizo 60k


Tcra wapo bussy instagram kwenye page ya sister fey.

Tcra wapo busdy kutafuta nani kapost kalio akamatwe kwa amri ya kondakta.

Kwa hio jifunze next time mwanaume usipanic
 
Ni aibu JF kuwa na member "zebe"kama huyu wewe ni wa kucharaza viboko 22 viwili asubuhi viwili mchana na viwili usiku
Pumbaf sana!
 
Mm ninamashaka na service provider hawa nahisi wanarudisha zile faini walizopigwa na serikali. Hawawezi mfanya lolote huyo tapeli kwa kuwa ananunua vocha na hii ni habari ni postive kwa kuwa pia kalipia VAT, TRA n.k
 
Wana njia nyingi sana,katika maisha hasara haikwepeki utaki una taki, cha msingi uwe na no za walimu tofauti tofauti, pia ungeomba uongee na mwanao kuthibitisha.
 
Ulikuwa unaishi ulaya? mbona umepoteza hela kizembe sana? pole lakini
Hivi nyie hamjui damu ni nzito kuliko maji? Na upendo una nguvu kuliko ufahamu. Kuna jamaa aliwahi kukuta nyumba yake inateketea kwa moto na watoto ndani.Kwa akili ya kawaida isingekuwa rahisi kwa MTU kuingia ndani ya nyumba hiyo na kutoka salama lakini kwa kuwa upendo una nguvu kuliko ufahamu Yule jamaa alijitosa ndani ya nyumba ili awaokoe watoto wake na mwisho wa siku yeye na watoto wake wote walikufa..

So msimshangae wala kumlaumu mkuu Jacobus upendo wake kwa mwanae ulizidiwa nguvu na ufahamu wake wala sio uzembe kama mnavyo jaribu kuiweka ..
 
Hapo nikasituka na kuamua kumpigia mwalimu mkuu, yeye akasangaa na kunipa pole ya kutapeliwa.

Voda nilipowapigia wakanitaarifu jamaa kesha toa hiyo sitini.
Hapo ndipo!!! aisee acha wakutapeli kabisa..
 
Kila mtu anaweza kutapeliwa, nimeona polisi akitapeliwa,alichomolewa simu akawekewa mbao mfukoni, kila akigusa mfuko anafikiri simu, nimeshuhudia Tapeli mkongwe akitapeliwa hela ya kutosha, mpaka kaduka kake kakafilisika, ukisema huwezi kutapeliwa ni kwa sababu huujui utapeli, kama Giningi yenyewe ilitapeli rambirambi za wala senene....

Mtoa mada umefanya vizuri kushirikishana, pole sana, usiogope matusi ya vijamaa vilivyomaliza vyuo vimekosa ajira, vinaomba vocha kwa wazazi vitafute ajira kwenye mitandao, vikikosa vinakuja Jf kuporomosha matusi.
 
Wewe mzaz nawe una matatizo. Kwangu mm mesesi hio nishatumiwa mara nyingi. Lkn mimi nikamwambia kuwa anayetakiwa kunipa hizo taarifa ni mkuu wa shule au matron wa shule au mwalimu wake wa darasa su mwenye shule ambao hao watu namba zao zote ninazo( Hose 4:6) watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
 
Mimi kuna mmoja juzi kanipigia Simu et kakosea kutuma pesa kwangu alfu35 nikamuambia poa nakurudishia hela yako.Nilivyokata Simu kuangalia kuna message ya kuthibitishwa kuwa nimepokea kiasi hicho ila cha ajabu hiyo message imetumwa na namba ya kawaida.Nikamrudishia ile message yake na matusi juu. Kwa tukio kama hilo kama hujatulia unaweza ukamtumia hela Jamaa ukidhan labda amekosea kumbe ni uongo .Pesa yoyote ikitumwa kwako inaingia either kwa TigoPesa au M-Pesa....Kuwa makini mkuu
watu wavivu wa kusoma na kufikiria
 
watu wavivu wa kusoma na kufikiria
Kweli mkuu,kwa message kama hiyo unaweza mtumia hela bila kugundua kitu......Utakuja stuka baadae kabisa......Ndiyo maana unatakiwa uwe makini kwenye kila jambo unalolifanya hasa kuhusu hela sikuhizi vyuma vimekaza watu wanatafuta kila means kujipatia hela
 
Kweli mkuu,kwa message kama hiyo unaweza mtumia hela bila kugundua kitu......Utakuja stuka baadae kabisa......Ndiyo maana unatakiwa uwe makini kwenye kila jambo unalolifanya hasa kuhusu hela sikuhizi vyuma vimekaza watu wanatafuta kila means kujipatia hela
juzi kuna jamaa yangu alitumiwa hiyo sms, "" Akaniuliza mimi, hivi hawa wanapataga watu kwa huu utapel??? "leo yamejipa
 
Back
Top Bottom