Aksante kwa kunielewa mkuu. Hata mie sijui kilitokea vipi mpaka kuanza kuwaamini maelezo yao ya mwanzo. Nishapokea e-mails, jumbe na kupigiwa simu nyingi tu lakini hazikunisitua kama ujumbe huu. Labda kwa kuwa mtoto wangu mmoja aliunguliwa na vitu vote pale Mihayo sec Tabora? Hata hivo nimewataarifu polisi na wanalifanyia kazi.Naona kila mtu anakuona boya, mjinga na mvivu wa kufikiri. Binafsi nakuelewa. You were caught off guard na hilo linatokea kwa kila mtu at some point. Utapeli kimtandao nchi hii umezidi, kwa nini vyombo husika visijitahidi kukabiliana nao?
Muhimu ni kuwa calm unapopata msg za namna hiyo, piga kwa watu/walimu unaowafahamu coz Tanzania ya leo imebadilika sana.
Jana wakati nipo kazini dada katuma sms, "Baba ludi", nikajisemea hapo lazima dogo ana tatizo, sikupanic, nikampigia nini shida, "mtoto kaungua", nikauliza imemfanyia huduma gani, "nimempaka asali", nikatulia tuli, sikutaka kujua kaungua wapi coz ningepanic sana na huenda ningekimbia kwenda home na hata kupata ajali.
Ukipata ujumbe wenye habari mbaya, tuliza akili, tafakari then ndio uendelee na maamuzi.
Aksante sana mkuu. Lakini ndo utamaduni wetu kwani mtoto akipata sifuri kwenye mtihani hatutafuti tatizo lililosababisha hali hiyo badala yake tunaamua kumchapa viboko vya kufa mtu.Mie hata pole sikupi, Sina haja ya kukuhurumia. Mwenyewe hujihurumii. Nyambafff kabisa nyie ndio mnawafuga wezi mijini kwa kuwapa pesa
Aksante mkuu. Yaani jamaa walivojipanga kuzungumza lazima upanic na kusahau vyote. Ni sawa na kukutana na simba "live" porini, kwa jinsi alivo hata kama una bunduki utaiangusha.Pole lkn jamaa kakuibia kizembe sana, kama ulikuwa na namba ya mwl mkuu kwann hukupiga kns kujiridhisha?
Unatakiwa pia kuwa na namba ya mwl wake darasa, kwa ishu km hizo inakuwa rahisi kujua ukweli.
So far, ulitakiwa kujua pia jina la mtoto wako na darasa ili kujiridhisha.
Mimi kuna mmoja juzi kanipigia Simu et kakosea kutuma pesa kwangu alfu35 nikamuambia poa nakurudishia hela yako.Nilivyokata Simu kuangalia kuna message ya kuthibitishwa kuwa nimepokea kiasi hicho ila cha ajabu hiyo message imetumwa na namba ya kawaida.Nikamrudishia ile message yake na matusi juu. Kwa tukio kama hilo kama hujatulia unaweza ukamtumia hela Jamaa ukidhan labda amekosea kumbe ni uongo .Pesa yoyote ikitumwa kwako inaingia either kwa TigoPesa au M-Pesa....Kuwa makini mkuu
Tumetofautiana mkuu haahaaMimi ukikosea siyo jukumu langu naitoa nakunywa bia
Pesa ndogo hivyo mkuu bia mojaWakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380.
Nikachanganyikiwa mno kwani mwanangu kweli yupo skuli Arusha 'boarding', nikampigia huyo jamaa na kuzidi niambia kuwa eti ana malaria ya muda mrefu na kwamba kadi yake ya Bima ya afya hawajaiona halafu akaniunganisha na daktari. Daktari kaniambia panatakiwa chupa ya maji haraka na nitume sh 57,500/=, sikuwa na ajizi nikatuma sh 60,000/= kupitia M-Pesa ndipo nikafahamu jina la huyo mwalimu tapeli kuwa ni Beatus Lyandungwe.
Alipopata hiyo pesa akanipigia na kuniambia kuwa pana majibu ya vipimo vya damu na harakaharaka akanipa tena huyo daktari (tapeli) na kuniambia damu ya mtoto haina tatizo (kumbuka hapo mwanzo aliniambia mtoto ana malaria) ila kwa kuwa kavuja damu nyingi baada ya kuanguka hivo chupa mbili za damu zinatakiwa na kwambi kila chupa ni sh 60,000/=.
Hapo nikasituka na kuamua kumpigia mwalimu mkuu, yeye akasangaa na kunipa pole ya kutapeliwa.
Voda nilipowapigia wakanitaarifu jamaa kesha toa hiyo sitini.
Jamani muwe mnapita pita Jf mara kwa mara hata kama hamjatapeliwa. Kuibiwa kizembe namna hii na wakati huu wizi ushaongelewa sana hapa JF ni kujitakia. Hakuna wizi ambao haujawahi kuongelewa hapa, hii nii shule tosha kabisa. Nakusikitikia tu kwa kweliWakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380.
Nikachanganyikiwa mno kwani mwanangu kweli yupo skuli Arusha 'boarding', nikampigia huyo jamaa na kuzidi niambia kuwa eti ana malaria ya muda mrefu na kwamba kadi yake ya Bima ya afya hawajaiona halafu akaniunganisha na daktari. Daktari kaniambia panatakiwa chupa ya maji haraka na nitume sh 57,500/=, sikuwa na ajizi nikatuma sh 60,000/= kupitia M-Pesa ndipo nikafahamu jina la huyo mwalimu tapeli kuwa ni Beatus Lyandungwe.
Alipopata hiyo pesa akanipigia na kuniambia kuwa pana majibu ya vipimo vya damu na harakaharaka akanipa tena huyo daktari (tapeli) na kuniambia damu ya mtoto haina tatizo (kumbuka hapo mwanzo aliniambia mtoto ana malaria) ila kwa kuwa kavuja damu nyingi baada ya kuanguka hivo chupa mbili za damu zinatakiwa na kwambi kila chupa ni sh 60,000/=.
Hapo nikasituka na kuamua kumpigia mwalimu mkuu, yeye akasangaa na kunipa pole ya kutapeliwa.
Voda nilipowapigia wakanitaarifu jamaa kesha toa hiyo sitini.
Daaah ushalizwa mkuu fanya kama umetoa sadaka tuuWakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380.
Nikachanganyikiwa mno kwani mwanangu kweli yupo skuli Arusha 'boarding', nikampigia huyo jamaa na kuzidi niambia kuwa eti ana malaria ya muda mrefu na kwamba kadi yake ya Bima ya afya hawajaiona halafu akaniunganisha na daktari. Daktari kaniambia panatakiwa chupa ya maji haraka na nitume sh 57,500/=, sikuwa na ajizi nikatuma sh 60,000/= kupitia M-Pesa ndipo nikafahamu jina la huyo mwalimu tapeli kuwa ni Beatus Lyandungwe.
Alipopata hiyo pesa akanipigia na kuniambia kuwa pana majibu ya vipimo vya damu na harakaharaka akanipa tena huyo daktari (tapeli) na kuniambia damu ya mtoto haina tatizo (kumbuka hapo mwanzo aliniambia mtoto ana malaria) ila kwa kuwa kavuja damu nyingi baada ya kuanguka hivo chupa mbili za damu zinatakiwa na kwambi kila chupa ni sh 60,000/=.
Hapo nikasituka na kuamua kumpigia mwalimu mkuu, yeye akasangaa na kunipa pole ya kutapeliwa.
Voda nilipowapigia wakanitaarifu jamaa kesha toa hiyo sitini.
Yaani we kwa uzembe huu ulitakiwa ukamatwe uwekwe mahabusu saa 24 na viboko juu.Wakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380.
Nikachanganyikiwa mno kwani mwanangu kweli yupo skuli Arusha 'boarding', nikampigia huyo jamaa na kuzidi niambia kuwa eti ana malaria ya muda mrefu na kwamba kadi yake ya Bima ya afya hawajaiona halafu akaniunganisha na daktari. Daktari kaniambia panatakiwa chupa ya maji haraka na nitume sh 57,500/=, sikuwa na ajizi nikatuma sh 60,000/= kupitia M-Pesa ndipo nikafahamu jina la huyo mwalimu tapeli kuwa ni Beatus Lyandungwe.
Alipopata hiyo pesa akanipigia na kuniambia kuwa pana majibu ya vipimo vya damu na harakaharaka akanipa tena huyo daktari (tapeli) na kuniambia damu ya mtoto haina tatizo (kumbuka hapo mwanzo aliniambia mtoto ana malaria) ila kwa kuwa kavuja damu nyingi baada ya kuanguka hivo chupa mbili za damu zinatakiwa na kwambi kila chupa ni sh 60,000/=.
Hapo nikasituka na kuamua kumpigia mwalimu mkuu, yeye akasangaa na kunipa pole ya kutapeliwa.
Voda nilipowapigia wakanitaarifu jamaa kesha toa hiyo sitini.
Kwa hiyo 2 asubuhi na 2jioni sawasawa na 22?Ni aibu JF kuwa na member "zebe"kama huyu wewe ni wa kucharaza viboko 22 viwili asubuhi viwili mchana na viwili usiku
Pumbaf sana!