TCRA naomba msaada wenu, nimetapeliwa mchana huu

Kumbe namba ya mwalimu mkuu ulikuwa nayo na bado ukapigwa basi sisi hatuna msaada kwa niaba ya TCRA,.
Mkuu, nilighafilika mno kwani si mara zote huzungumza nae. Kijana huwatumia walimu wa kawaida tu kuzungumza nami.
 
Pole sana ndg,hawa matapeli huwa ni watu wa karibu hivyo details zako wanazifahamu,mwezi jun mwaka 2018 wife alitumiwa ujumbe kama wako kuwa mwanae anaesoma secondary mwanagati kadondoka ghafla na kupoteza fahamu hivyo inatakiwa atume tsh50,000/= wakodi gari wampeleke hosp amana.baadae wakampigia kumuuliza kama ana kadi ya bima ya afya.akawajibu hana hiyvyo wakahitaji aongeze 50,000/=ili akifikishwa hosp apatiwe matibabu ya haraka.wife akawajibu subirini nimpigie baba yake aje hayuko mbali na shuleni anaposoma mwanae.wale matapeli walikasirika wakamtukana matusi ndo ikawa pona yake.ila mkuu samahani nimechangia ujumbe usionihusu maana addressee yako ni Tcra.
 
Mimi siwezi nikamlaumu kuna wakati mtu akili huwa inapotea hasa kwa kitu kama hicho ila baadaye akili inarudi ndio unaanza kutafakari upya.

Huwa inatokea mkuu.
Lah! mkuu upo sahihi kabisa ukifikiria mtoto yupo mbali mno nawe.
 
Wakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380.

Nikachanganyikiwa mno kwani mwanangu kweli yupo skuli Arusha 'boarding', nikampigia huyo jamaa na kuzidi niambia kuwa eti ana malaria ya muda mrefu na kwamba kadi yake ya Bima ya afya hawajaiona halafu akaniunganisha na daktari. Daktari kaniambia panatakiwa chupa ya maji haraka na nitume sh 57,500/=, sikuwa na ajizi nikatuma sh 60,000/= kupitia M-Pesa ndipo nikafahamu jina la huyo mwalimu tapeli kuwa ni Beatus Lyandungwe.

Alipopata hiyo pesa akanipigia na kuniambia kuwa pana majibu ya vipimo vya damu na harakaharaka akanipa tena huyo daktari (tapeli) na kuniambia damu ya mtoto haina tatizo (kumbuka hapo mwanzo aliniambia mtoto ana malaria) ila kwa kuwa kavuja damu nyingi baada ya kuanguka hivo chupa mbili za damu zinatakiwa na kwambi kila chupa ni sh 60,000/=.

Hapo nikasituka na kuamua kumpigia mwalimu mkuu, yeye akasangaa na kunipa pole ya kutapeliwa.

Voda nilipowapigia wakanitaarifu jamaa kesha toa hiyo sitini.
yaani kila siku tunaandika huu wizi humu, huwa hamsomi?
 
Ulikuwa unaishi ulaya? mbona umepoteza hela kizembe sana? pole lakini
 
Alikutajia mwanao anayeitwa nani yupo hospitali...au ulijiongeza tuu ?

Pole sana ndg,hawa matapeli huwa ni watu wa karibu hivyo details zako wanazifahamu,mwezi jun mwaka 2018 wife alitumiwa ujumbe kama wako kuwa mwanae anaesoma secondary mwanagati kadondoka ghafla na kupoteza fahamu hivyo inatakiwa atume tsh50,000/= wakodi gari wampeleke hosp amana.baadae wakampigia kumuuliza kama ana kadi ya bima ya afya.akawajibu hana hiyvyo wakahitaji aongeze 50,000/=ili akifikishwa hasp apatiwe matibabu ya haraka.wife akawajibu subirini nimpigie baba yake aje hayuko mbali na shuleni anaposoma mwanae.wale matapeli walikasirika wakamtukana matusi ndo ikawa pona yake.ila mkuu samahani nimechangia ujumbe usionihusu maana addressee yako ni Tcra.
Aksante mkuu, hata hivo TCRA ninawataarifu tu kupitia humu JF.
 
Wakuu, mchana huu kama saa sita hivi nimepokea ujumbe huu 'HABARI YAKO MZAZI MIMI MWALIMU HAPA SHULENI MWANAO AMEANGUKA GAFLA NAOMBA NIPIGIE HARAKA', ujumbe huu unatoka 0746136380.

Nikachanganyikiwa mno kwani mwanangu kweli yupo skuli Arusha 'boarding', nikampigia huyo jamaa na kuzidi niambia kuwa eti ana malaria ya muda mrefu na kwamba kadi yake ya Bima ya afya hawajaiona halafu akaniunganisha na daktari. Daktari kaniambia panatakiwa chupa ya maji haraka na nitume sh 57,500/=, sikuwa na ajizi nikatuma sh 60,000/= kupitia M-Pesa ndipo nikafahamu jina la huyo mwalimu tapeli kuwa ni Beatus Lyandungwe.

Alipopata hiyo pesa akanipigia na kuniambia kuwa pana majibu ya vipimo vya damu na harakaharaka akanipa tena huyo daktari (tapeli) na kuniambia damu ya mtoto haina tatizo (kumbuka hapo mwanzo aliniambia mtoto ana malaria) ila kwa kuwa kavuja damu nyingi baada ya kuanguka hivo chupa mbili za damu zinatakiwa na kwambi kila chupa ni sh 60,000/=.

Hapo nikasituka na kuamua kumpigia mwalimu mkuu, yeye akasangaa na kunipa pole ya kutapeliwa.

Voda nilipowapigia wakanitaarifu jamaa kesha toa hiyo sitini.

Mwanaume wa Dar umetapeliwa pole sana, hiyo nazani utabaki nayo moyoni hadi siku ya kifo chako, hahaaaa!
 
Alikutajia mwanao anayeitwa nani yupo hospitali...au ulijiongeza tuu ?
Nilighafilika mno mkuu na kwa kuwa nilimpigia mimi hivo suala la vocha nalo lilinibana.
 
To many idiots in this world
Mtu akupigie simu kwa namba usioijua halafu unatumia pesa bila proof yoyote kuwa anachoongea ni sahihi
Sijui kama umenielewa, alituma ujumbe mie nikampigia.
 
Nilighafilika mno mkuu na kwa kuwa nilimpigia mimi hivo suala la vocha nalo lilinibana.
pole sana mkuu...ila siku hizi sio kila sim unayopokea ikaanzisha story ni ya kwenda nayo tuu kama wawavyosema...lazima ujiridhishe kwanza maana hii ni "Tanzania ya viwanda" na wadau ndio wanaanzisha hivyo viwanda vidogo vidogo..
 
Wengi ambao sio wazazi hawatakuelewa, lakini kupanic kupo.

Jizoeshe kutokupanic unapopewa taarifa mbaya na ujitahidi kurudiarudia kichwani situation uliyoambiwa. Ningekuwa mimi ningeomba kuongea na mtoto, japo labda wangekujibu kwamba amezirai.

Kutulizana kungekupa ufahamu wa kumpigia mwalimu mkuu na kupata ukweli.
Sawia mkuu, angalia ni hivi karibuni tu bweni la skuli ya Mihayo seco huko Tabora liliungua na mwanangu ni muathirika kwani vitu vyote viliteketea.
 
😀😀😀 nimepatika mkuu, mie sio rahisi hivo kama wengine wanavofikiria,

Cha msingi waambie familia yako wakianzia kwako inawezekana kuna siku watampigia mkeo/Msichana na wakazi na utajikuta unalia tena. Jamaa hawana huruma ila next time ujifunze kuwa unapiga simu kwanza shuleni hafu hakuna shuleni kwasababu wanafunzi wanalipa pesa ya matibabu.
 
Aksante kwa ushauri wako.
 
Back
Top Bottom