Chapat
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 283
- 202
Kama wiki mbili hivi kaka yangu mkubwa alipigwa kama wewe 55,000 kua mwanae kaanguka ghafla yaan story kama yako bro kuchanganyikiwa akatuma kama wewe halafu ubovu mtoto anasoma day school so baada ya kutuma akawasha gari fasta kukimbia hospital akaambiwa hamna mgonjwa kama huyo. Ikabidi aende shuleni kwa dogo anamkuta yupo class anakula kitabu kama kawaida, kuwapigia hawapatikani, ndio akawa kashaliwa
Wajinga hawatakaa waishe dunia hii
Huyo ni kiazi kabisa.