TCRA hawa Tigopesa ni zaidi ya unyama

TCRA hawa Tigopesa ni zaidi ya unyama

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
27,650
Reaction score
16,732
ninyi wahusika wa tigo pesa mmesitisha huduma za tigo pesa bila taarifa tunashindwa kufanya miamala na shughuli zetu sasa
nimekwama na ninatakiwa nimpelekee mteja wangu mzigo siwez kuuchukua kisa nashindwa kuingia tigo pesa turudisheni hewani tafadhali


hivi haiwezekani kuwashtaki hawa jamaa maana tunapata hasara aisee
 
NAAMINI TCRA MNAJUA KINACHOENDELEA LEO HUDUMA ZA TIGO PESA ZIMEKATWA KUPITIA SIMU, NA KIBAYA ZAIDI HAKUNA TAARIFA MNAZOTOA KWA WATEJA WENU. NA UNYAMA WENU ZAIDI MKIPIGIWA HUDUMA YA WATEJA MNAKATA. THIS IS DISGRACE MNAKERA MFUNGIWE TU TO HELL
SORRY FOR USING OFFENSIVE LANGUAGE LKN MMENIKERA NA KUNIUMIZA SANA NIMEKOMA NA HUDUMA ZENU ZA KISANIII.
 
hawawezi kuwa wamefanya makusudi mkuu.

wanaudhi sana ila tuwavumilie tu, kuwa na hasira ni kujiongezea tu ugonjwa wa moyo
 
Huenda imetokea tu bahati mbaya kama wewe ambavyo unaweza kutoka na gari nyumbani kwako ikiwa nzima ikaharibika katikati ya safari.
 
hawawezi kuwa wamefanya makusudi mkuu.

wanaudhi sana ila tuwavumilie tu, kuwa na hasira ni kujiongezea tu ugonjwa wa moyo
Mkuuu hawa jamaa lazima wabadilike fedha ni zetu wenyewe tena na makato juu kwnn watukere hivo mm nlikuwa nadharau lkn yamenikta africa kuwa na aman ni kutembea na bunda haya ya mobile money na credit card tuwaachie wazungu afanalek
 
Hao jamaa nilisha kataa mazoea nao wamewahi kunitesa wiki nzima ugenini nimetuma pesa tigo pesa-bank mamamae tigopesa zimetoka na bank hazijafika nilijuta kuwafaham
 
Huenda imetokea tu bahati mbaya kama wewe ambavyo unaweza kutoka na gari nyumbani kwako ikiwa nzima ikaharibika katikati ya safari.
Bahat mbaya masaa matatu halaf walivokuwa mbwa hawatoi hata ushirikiano. Pesa za mtu ni haki yake unapochukua dhaman ya kuhifadhi ni wajibu kuwalert wahusika ambao ni sisi wateja wao

k
 
Bahat mbaya masaa matatu halaf walivokuwa mbwa hawatoi hata ushirikiano. Pesa za mtu ni haki yake unapochukua dhaman ya kuhifadhi ni wajibu kuwalert wahusika ambao ni sisi wateja wao

k
Pole sana mkuu mitandao hii ina changamoto sana
 
NAAMINI TCRA MNAJUA KINACHOENDELEA LEO HUDUMA ZA TIGO PESA ZIMEKATWA KUPITIA SIMU, NA KIBAYA ZAIDI HAKUNA TAARIFA MNAZOTOA KWA WATEJA WENU. NA UNYAMA WENU ZAIDI MKIPIGIWA HUDUMA YA WATEJA MNAKATA. THIS IS DISGRACE MNAKERA MFUNGIWE TU TO HELL
SORRY FOR USING OFFENSIVE LANGUAGE LKN MMENIKERA NA KUNIUMIZA SANA NIMEKOMA NA HUDUMA ZENU ZA KISANIII.
Mbona mimi nipo rombo huku huduma mpesa ilikuwa inazingua toka saa tatu hadi saa saba mchana
 
Mhh iv kumbe kuna watu bado wapo Tigo
Mimi nlishawahamaga kitaaambooo sitaki kujazwa mieee
 
Huenda imetokea tu bahati mbaya kama wewe ambavyo unaweza kutoka na gari nyumbani kwako ikiwa nzima ikaharibika katikati ya safari.
Wewe ni mfanyakazi Wa Tigo niniiii mbona unawatetea???
 
Back
Top Bottom