Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
- Thread starter
- #21
lazima tutumie iwe tunajazwa ama hatujazwi la msingi hii huduma ni muhimu sana kukatwa bila taarifa ni hatari sas nakosa hela hivi hivi nashindwa kufanya biashara ambayo ingeniingizia 80000 muda huu jamani what the hell is this hawa tungefaa tuwashitaki shenzy typeMhh iv kumbe kuna watu bado wapo Tigo
Mimi nlishawahamaga kitaaambooo sitaki kujazwa mieee