Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,565
- 1,516
Dawa n kuchaji pesa kwa transaction za nje ya eneo mfano laki moja(100,000/=) unamtoza mteja 1,000/= na kwa elfu hamsini(50,000/=) kushuka chini unamtoza mia tano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inachangamoto kubwa, wateja wengi sio wakweli. Mwingine anakwambia simu ameicha nyumbani kwenye chaji, mwingine kamtuma mtoto amemtuma aseme anayemtumia yuko nyumbani, mwingine anakuambia anayemtumia yuko ndani ya hilo eneo/mji, ukijifanya uko strict sana unapoteza wateja wengiHuruhusiwi kufanya miamala kwa mteja ambae yuko mbali na eneo lako
Huruhusiwi kufanya miamala kwa mteja ambae yuko mbali na eneo lako
Eneo unalotolea huduma letsay unatoa huduma kata Fulani ukituma kwenda mbali na eneo hurejeshewi kamisheni , swali la kizushi kuna sheria iliyotungwa na kama IPO kwanini wasiweke kwenye matangazo yao ili wateja wajue?
Mkuu agiza Pepsi umfafanua vyemaUsiwapotoshe wenzako... Soma vizuri uelewe, mtoa mada ameuliza mbona makato yanakatwa na hawarudishiwi hizo % za makato...
Ingekuwa hairuhusiwi muamala usingekuwa unakamilika.
Voda pia hawakulipi kama ukituma pesa kwa mtu alie mbali.malizana kabisa na mteja anaetuma direct akupe chako kabisa.
lkn pia jua kwamba wakala ukituma pesa ww direct unawakosesha mapato. muwekee yeye mteja unaemuona alafu yy akituma anakatwa na ya kutumia kampuni inakua imeingiza hela.
Lkn pia kutuma pesa mbali ni hatari hasa kwa mteja ambae huja mfahamu vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Suppose Mimi ni Wakala, sifahamu jina lako umekuja umenipa hela Kisha umeniambia nikuwekee hela kwenye namba ambayo unanitajia toka kichwani mwako. Nathibitishaje kuwa si yako na iko nje ya eneo kabla sijatuma ?Huruhusiwi kufanya miamala kwa mteja ambae yuko mbali na eneo lako
Airtel wanalipa hata halotel wanalipa hata kama ukituma pesa mikoa tofauti ila voda na tigo hawalipi hata sent tano sijui ni kwa nini.yote Tisa kumi wewe ukituma huko mbali wao wanavuna ni bora wangekua wanatulipa nusu ya hela tunayotakiwa kupewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course hilo suala liko ndani yao, kwa kuwa wao ndio wenye uwezo wa kuthibitisha kuwa hiyo namba iko nje ya eneo husika, system yao ilibidi iwe na uwezo wa kureject hizo transactions kisha mteja aelekezwe utaratibu wa namna ya kutuma hiyo hela kwa kupitia namba yake, kuliko wao kumfanyisha kazi wakala pasipo kumpa mrejea.Usiwapotoshe wenzako... Soma vizuri uelewe, mtoa mada ameuliza mbona makato yanakatwa na hawarudishiwi hizo % za makato...
Ingekuwa hairuhusiwi muamala usingekuwa unakamilika.
Ulikuwa ni utaratibu mzuri, lakini kwa sasa umepitwa na wakati. Tunatumia hizi huduma kwa sababu ya upatikanaji wake uliopo kila Kona. Kwa hiyo nishindwe kupata huduma ya kutoa au kuweka kisa sina kitambulisho ? Huyo Wakala atahudumia wateja wangapi kwa siku kwa utaribu huo wa kuandika hizo taarifa.Airtel wanalipa hata halotel wanalipa hata kama ukituma pesa mikoa tofauti ila voda na tigo hawalipi hata sent tano sijui ni kwa nini.
Ila kama umepitia maswala ya utakatishaji fedha unaweza gundua ni kwa nn airuhusiwi kutuma pesa kwa mtu alie mbali,
Ukifata taratibu za wakala kumuhudumia mteja ni lazma akuonyeshe id yake yenye majina ya kufanana na namba unayo ihudumia iwe mteja anatoa pesa ama anaweka na lazma akuonyeshe kitamburisho na pia ww wakala ujaze taarifa za kwenye hicho kitamburisho kwenye log book na yy mtaja asaini kwenye log book.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema Ila sheria hii iliheshimiwa kipindi hicho , nyakati tulizo nazo so rafiki kwa sheria hiyo, Technolojia imekua huwezi kumzuia wakala kutuma pesa direct kwenda mkoa mwingine kinachopaswa hapa nikuanzisha taratibu za kufuatwa na kama inabidi miamala inayoenda mbali iblockiwe isiende kabisa, hapa mitandao husika haina hasara wao ukituma wanakata Ila wakala unaambulia zero, sasa MTU umeinvest m3 kwa mwezi unaambulia 20k nani mnyonyaji hapo? na serikali kwakua wao wanalipwa kila ufanyapo muamala wao hili haliwaumi mazi imebaki kwa makala mpaaze sautiAirtel wanalipa hata halotel wanalipa hata kama ukituma pesa mikoa tofauti ila voda na tigo hawalipi hata sent tano sijui ni kwa nini.
Ila kama umepitia maswala ya utakatishaji fedha unaweza gundua ni kwa nn airuhusiwi kutuma pesa kwa mtu alie mbali,
Ukifata taratibu za wakala kumuhudumia mteja ni lazma akuonyeshe id yake yenye majina ya kufanana na namba unayo ihudumia iwe mteja anatoa pesa ama anaweka na lazma akuonyeshe kitamburisho na pia ww wakala ujaze taarifa za kwenye hicho kitamburisho kwenye log book na yy mtaja asaini kwenye log book.
Sent using Jamii Forums mobile app