TCRA fuatilieni tiGopesa, inakata mirija kwa mawakala

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,562
1,507
Habari Wakuu,

Binafsi na declare interest kuwa najihusisha na biashara za miamala ya mtamdao ya simu
Nimegundua, Mapema January baada ya Kamisheni Kushuka kwa ghafla.

Nilichogundua ni kutokulipwa kwa Mrejaa (kamisheni) pindi ninapo hudumia mteja anaetuma fedha kwa mteja alie nnje ya eneo, nilipoulizia kwa wakala mkuu nilijibiwa kuwa ukituma fedha direct kwenda kwa mtu aliye nje ya eneo hulipwi kamisheni/mrejaa hivyo unapaswa kumtumia mteja husika yeye ndio atume kwenda huko anakotaka kutuma, kama mjuavyo wateja wanakwepa makato lakini pia mteja anaweza akawa anataka kutuma fedha ila yeye hana laini ya Tigo.

Kilichonifanya niandike makala hii jikuwa wao TIGO wanakata makato kwa muamala husika lakini wakala harejeshewi kamisheni ya muamala husika why ?

Kama wanakata makato kwanini wasirejeshe? kwanini wao wanajipa? Na kwanini mitandao mingine wanatoa kamisheni hata utume popote?

Binafsi huu nauona kama wizi ambao umefumbiwa macho, nawasihi TCRA walifuatilie hili na wachukue hatua

NB: Nimewataja TIGO kwakua wao pekee ndio wanafanya hivi wengine hawana hii kadhia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huruhusiwi kufanya miamala kwa mteja ambae yuko mbali na eneo lako
Hii inachangamoto kubwa, wateja wengi sio wakweli. Mwingine anakwambia simu ameicha nyumbani kwenye chaji, mwingine kamtuma mtoto amemtuma aseme anayemtumia yuko nyumbani, mwingine anakuambia anayemtumia yuko ndani ya hilo eneo/mji, ukijifanya uko strict sana unapoteza wateja wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Voda pia hawakulipi kama ukituma pesa kwa mtu alie mbali.malizana kabisa na mteja anaetuma direct akupe chako kabisa.

lkn pia jua kwamba wakala ukituma pesa ww direct unawakosesha mapato. muwekee yeye mteja unaemuona alafu yy akituma anakatwa na ya kutumia kampuni inakua imeingiza hela.

Lkn pia kutuma pesa mbali ni hatari hasa kwa mteja ambae huja mfahamu vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea Point mkuu hii Mitandao inatuibia Sana Watanzani na hao TCRA hawana Msaada wowote, wao wapo bize Na Facebook,twiter,whatsapp na Mitandao mingine ya Kijamii kubaini wanaoikosoa Serikali Sa hizi Wamekua Manyampala wa COVID19
 
yote Tisa kumi wewe ukituma huko mbali wao wanavuna ni bora wangekua wanatulipa nusu ya hela tunayotakiwa kupewa
Voda pia hawakulipi kama ukituma pesa kwa mtu alie mbali.malizana kabisa na mteja anaetuma direct akupe chako kabisa.
lkn pia jua kwamba wakala ukituma pesa ww direct unawakosesha mapato. muwekee yeye mteja unaemuona alafu yy akituma anakatwa na ya kutumia kampuni inakua imeingiza hela.
Lkn pia kutuma pesa mbali ni hatari hasa kwa mteja ambae huja mfahamu vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huruhusiwi kufanya miamala kwa mteja ambae yuko mbali na eneo lako
Suppose Mimi ni Wakala, sifahamu jina lako umekuja umenipa hela Kisha umeniambia nikuwekee hela kwenye namba ambayo unanitajia toka kichwani mwako. Nathibitishaje kuwa si yako na iko nje ya eneo kabla sijatuma ?
 
yote Tisa kumi wewe ukituma huko mbali wao wanavuna ni bora wangekua wanatulipa nusu ya hela tunayotakiwa kupewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Airtel wanalipa hata halotel wanalipa hata kama ukituma pesa mikoa tofauti ila voda na tigo hawalipi hata sent tano sijui ni kwa nini.

Ila kama umepitia maswala ya utakatishaji fedha unaweza gundua ni kwa nn airuhusiwi kutuma pesa kwa mtu alie mbali,

Ukifata taratibu za wakala kumuhudumia mteja ni lazma akuonyeshe id yake yenye majina ya kufanana na namba unayo ihudumia iwe mteja anatoa pesa ama anaweka na lazma akuonyeshe kitamburisho na pia ww wakala ujaze taarifa za kwenye hicho kitamburisho kwenye log book na yy mteja asaini kwenye log book.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwapotoshe wenzako... Soma vizuri uelewe, mtoa mada ameuliza mbona makato yanakatwa na hawarudishiwi hizo % za makato...

Ingekuwa hairuhusiwi muamala usingekuwa unakamilika.
Of course hilo suala liko ndani yao, kwa kuwa wao ndio wenye uwezo wa kuthibitisha kuwa hiyo namba iko nje ya eneo husika, system yao ilibidi iwe na uwezo wa kureject hizo transactions kisha mteja aelekezwe utaratibu wa namna ya kutuma hiyo hela kwa kupitia namba yake, kuliko wao kumfanyisha kazi wakala pasipo kumpa mrejea.
 
Airtel wanalipa hata halotel wanalipa hata kama ukituma pesa mikoa tofauti ila voda na tigo hawalipi hata sent tano sijui ni kwa nini.

Ila kama umepitia maswala ya utakatishaji fedha unaweza gundua ni kwa nn airuhusiwi kutuma pesa kwa mtu alie mbali,

Ukifata taratibu za wakala kumuhudumia mteja ni lazma akuonyeshe id yake yenye majina ya kufanana na namba unayo ihudumia iwe mteja anatoa pesa ama anaweka na lazma akuonyeshe kitamburisho na pia ww wakala ujaze taarifa za kwenye hicho kitamburisho kwenye log book na yy mtaja asaini kwenye log book.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa ni utaratibu mzuri, lakini kwa sasa umepitwa na wakati. Tunatumia hizi huduma kwa sababu ya upatikanaji wake uliopo kila Kona. Kwa hiyo nishindwe kupata huduma ya kutoa au kuweka kisa sina kitambulisho ? Huyo Wakala atahudumia wateja wangapi kwa siku kwa utaribu huo wa kuandika hizo taarifa.
 
Airtel wanalipa hata halotel wanalipa hata kama ukituma pesa mikoa tofauti ila voda na tigo hawalipi hata sent tano sijui ni kwa nini.

Ila kama umepitia maswala ya utakatishaji fedha unaweza gundua ni kwa nn airuhusiwi kutuma pesa kwa mtu alie mbali,

Ukifata taratibu za wakala kumuhudumia mteja ni lazma akuonyeshe id yake yenye majina ya kufanana na namba unayo ihudumia iwe mteja anatoa pesa ama anaweka na lazma akuonyeshe kitamburisho na pia ww wakala ujaze taarifa za kwenye hicho kitamburisho kwenye log book na yy mtaja asaini kwenye log book.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema Ila sheria hii iliheshimiwa kipindi hicho , nyakati tulizo nazo so rafiki kwa sheria hiyo, Technolojia imekua huwezi kumzuia wakala kutuma pesa direct kwenda mkoa mwingine kinachopaswa hapa nikuanzisha taratibu za kufuatwa na kama inabidi miamala inayoenda mbali iblockiwe isiende kabisa, hapa mitandao husika haina hasara wao ukituma wanakata Ila wakala unaambulia zero, sasa MTU umeinvest m3 kwa mwezi unaambulia 20k nani mnyonyaji hapo? na serikali kwakua wao wanalipwa kila ufanyapo muamala wao hili haliwaumi mazi imebaki kwa makala mpaaze sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom