Mimi ni mteja wa Vodacom Tanzania mwenye full registration kama mteja wakaida. Jana nilipata dhalura kuna mahali nilikuwa nimeenda hivyo nikampigia simu rafiki yangu X, ambaye anatumia Mtandao wa tigo ili anitumie pesa X na kweli kama dak 5 alituma Kiasi hicho cha fedha kutoka tigo kuja kwenye laini yangu ya Vodacom na Mimi nilikiri kuipokea pesa husika.
Lakini baada ya kupokea nilimwambia yule rafiki yangu X, kwamba Ile mishe ambayo nilihitaji nitumie Ile pesa nishamaliza hivyo anaweza kuurudisha tu muamala kwake maana nafahamu inawezekana kuliko Mimi kuanza tena kumtumia upya na yeye alifanya hivyo bila kuchelewa na hata Mimi nikapokea SMS yakuonyesha muamala umerudishwa Kwa muhusika ambaye ni X, hapa ilikuwa usiku kama saa 2030hrs.
Bas Leo asubuhi nikamuuliza vipi pesa uliipata uliyoirudisha yeye akajibu hapana sijapata lakini ngoja niangalie salio, aliangalia salio hakukuta pesa iliyorudishwa.
Hivyo aliamua Kupiga huduma Kwa wateja nakuuliza Jana alirudisha muamala lakini pesa hajaipata changamoto ni nini? Wao walimjibu kuwa ni kweli aliomba kuurudisha lakini Kwa bahati mbaya mteja ambaye alimtumia alikuwa tayari kashaitoa hivyo Ombi halikufanikiwa
Basi aliniomba Mimi niwapgie Vodacom kuulizia huo muamala Vodacom wananijibu kuwa muamala husika ulirudishwa Kwa muhusika, Muda huo huo tigo wanasema muamala ulishindwa kurudishwa Kwa sababu mteja ambaye alipokea alikuwa ameshautoa.
Je nifanye nini kwenye scenario hii? Na kama ulishawahi kupata changamoto kama hii ulifanya nini? Mtandao wa tigo tumeongea nao wanasema nifuate utaratibu wakisheria Kwa kufika kituo cha polisi, lakini pia je snario hii kuna criminality gani mpaka niende polisi?
NB Mimi na huyu rafiki yangu tunaishi wote na hili zoezi tumelifanya wote tukiwa tunasikia mitandao husika wakitoa ufafanuzi wa suala hili.
Pole sana kwa suala lako la muamala kurejeshwa. Ndugu mteja tunapenda kukufahamisha kwamba muamala kwetu ulitoka kurejeshwa kwa mtumaji. Tafadhali mshauri mtumaji awasiliane na mtandao wake husika kwa msaada zaidi.
Tafadhali rejea: AL6BKS2 Transaction Reversal 13-12-2023 20:14:14 TIPS FSP Disburse Fund Reversal by MM SP\svcbottips 922749 - TIPS-TIGOPESA Completed TZS Tsh-().00.
Ahsante. ^FN
Moja ya ujumbe toka vodacom