Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,829
- 6,379
Sisi bado hatujaongeza..... lakini hiyo article hapo juu imeonyesha baadhi ya Nchi duniani kutokana na upungufu wa pilots katika Nchi zao wameongeza umri huo hadi miaka 67 na Nchi nyingine ziko mbioni kuongeza umri huo.