Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

.... lakini hiyo article hapo juu imeonyesha baadhi ya Nchi duniani kutokana na upungufu wa pilots katika Nchi zao wameongeza umri huo hadi miaka 67 na Nchi nyingine ziko mbioni kuongeza umri huo.
Sisi bado hatujaongeza.
 
Mwaka 2015 Deo Filikunjombe alianguka na helicopter na kufariki na rubani wake mzee Slaa alikuwa anarusha helicopter hiyo akiwa na miaka 68 na hakua na kibali cha kuruka kwa umri huo. Hapa mamlaka inafaa kupongezwa kwa kulinda usalama wa mgombea wa CHADEMA. Tafuteni ndege ingine badala ya kusingizia Serikali.
Hawalioni hilo wao wanaona wameonewa! Angeruhusiwa na lingetokea la kutokea pia wangesema ameuliwa! Chadema hawana jema
 
Ni vizuri watuambie pia siku zote ni nani aliyekuwa anaendesha hiyo helikopter???? Kama ni rubani huyohuyo imekuwaje wamzuie sasa???
Wewe una akili ya kamasi. Kama rubani alikuwa ni yule wa kila siku wangeenda kuomba kibali cha rubani kurusha ndege? Si alishapewa kibali?
Ni dhahiri huyu si yule wa kila siku ndo maana walilazimika kwenda kuomba kibali.

Hizi akili za chadema sijawahi kuzielewa. Unauliza kwa jirani yako kinyeo chako kiko wapi!!!
 
Wewe unajibu kama TCAA au kilaza tu wa Lumumba???
 
Mwaka 2015 Deo Filikunjombe alianguka na helicopter na kufariki na rubani wake mzee Slaa alikuwa anarusha helicopter hiyo akiwa na miaka 68 na hakua na kibali cha kuruka kwa umri huo. Hapa mamlaka inafaa kupongezwa kwa kulinda usalama wa mgombea wa CHADEMA. Tafuteni ndege ingine badala ya kusingizia Serikali.
Mhuuu uchuro huo
 
Back
Top Bottom