Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,829
- 6,376
Hajaanza kudanganya leo, ni mzoefu. Ameachwa aseme uwongo na sasa amekubuhu. Iko siku atakomeshwa.Aibu chadema, kazi uongo tu kila siku
Hajaanza kudanganya leo, ni mzoefu. Ameachwa aseme uwongo na sasa amekubuhu. Iko siku atakomeshwa.Aibu chadema, kazi uongo tu kila siku
Njia ya muongo ni fupiAibu chadema, kazi uongo tu kila siku
Tunatwanga maji kwenye kinu- kwa sababu Tume kaiteua yeye mwenyewe Rais. Tunatwanga maji kwenye kinu- ni kwa sababu Tume sio huru,na hata alivyowekewa pingamizi na Lissu Tume haikujibu kisheria.Maana yake haya tunayoyadili ni kama kutwanga maji kwenye kinu, hayawezi kubadili chochote.
Kaanza kutumia kisukuma kabla ya kampeni na hana kosa lolote kuongea na jamaa zake kwa lugha wanayoielewa.
Mkuu unataka kusema nini hapa kwamba state Aviation hawajui sheria na kanuni za Aviation za nchi hii au hawataki pesa za mteja wao? Sasa weka prove kwamba kweli hicho kilichoandikwa kwenye barua ulioiweka hapa ndo sahihi?Aibu chadema, kazi uongo tu kila siku
Kile mnaweza ccm na Nec ni kufanya hujuma kama hizo lakini sio kuzuia MAFURIKO YA LISSU.Safi sana waache upotoshaji
Aibu chadema, kazi uongo tu kila siku
Sasa mbona wabunge nao mnawakata utafikiri wale ni ccm wenzenu?Chadema njooni mkanushe kwamba sio kweli taarifa ya mamlaka
Tofauti na hapo nyie ni wazushi, pia wahuni tu.
Mumeomba wenyewe mkakataliwa kwa nini hamkutoa taarifa mapema kwa umma. Mkaona ni rahisi kuibebesha lawama mamlaka
Jitafakalini, sana nyinyi level zenu na properganda ni ubunge tu. Urais bado sana.
NCHI hii inaongozwa hadi Fambaga kama Magu itakuwa kwa Mwanasheria LISSUChadema ni mabingwa wa kulia lia. Hata hawaeleweki kazi yao kutafuta sympathy, ndio wataweza kuongoza nchi?
Marehemu Pilot Silaa alizaliwa 1950 akafarki 2015. 2015-1950 = 65. Bado alikuwa ni Pilot.Kwani local civil aviation authority ya Tanzania (TCAA) imeweka umri huo kuwa ni miaka mingapi? Je wameextend zaidi ya miaka hiyo 65?
Hizi hasira zako hazitasaidia Lisu kupata watu wengi kwenye mikutano na hatimaye kushinda urais! Zaidi sana ajiandae kurudi kwa beberu wake Amsterdam baada ya oktoba 28We una hadhi gani wewe?
Ungekuwa na hadhi si ungekuwa inajibiwa na Lisu?
Mimi Kapuku na kujibu kapuku mwenzangu wala huna lolote,zaidi nenda kachukue buku saba zako mwanaizaya weye,mwana mtoka pabaya
Mkuu naona unapoteza muda wako kulalamika wakati malalamiko yako hayawezi kubadili chochote.Tunatwanga maji kwenye kinu- kwa sababu Tume kaiteua yeye mwenyewe Rais
Tunatwanga maji kwenye kinu- ni kwa sababu Tume sio huru,na hata alivyowekewa pingamizi na Lissu Tume haikujibu kisheria
Kaanza kutumia kisukuma kabla ya kampeni- Maadili ya Uchaguzi yanatumika kipindi cha kampeni, hivyo kosa lipo kwa sababu matumizi ya lugha za makabila yamezuiwa na Maadili ya Uchaguzi ya 2020 ambayo na Ccm wamesaini.
Hivi Mbowe baada ya kutekwa mbona hatoi mrejeshoMkuu unataka kusema nini hapa kwamba state Aviation hawajui sheria na kanuni za Aviation za nchi hii au hawataki pesa za mteja wao? Sasa weka prove kwamba kweli hicho kilichoandikwa kwenye barua ulioiweka hapa ndo sahihi?
Sasa wewe unataka kusema sahihi ni kipi? Wa ushahidi upi?Mkuu unataka kusema nini hapa kwamba state Aviation hawajui sheria na kanuni za Aviation za nchi hii au hawataki pesa za mteja wao? Sasa weka prove kwamba kweli hicho kilichoandikwa kwenye barua ulioiweka hapa ndo sahihi?
Mpayukaji Lissu aendelee na utetezi wa mabeberu huko. Nchi inaendeshwa na intellectuals.NCHI hii inaongozwa hadi Fambaga kama Magu itakuwa kwa Mwanasheria LISSU
Atoe mrejesho hajipendi?Hivi Mbowe baada ya kutekwa mbona hatoi mrejesho
Huyu rubani slaa 2015 alikuwa na miaka mingapiSafi sana waache upotoshaji
Akili zenu milioni 10 kwa Lissu hamnusi.Kinyago Lissu tunakichonga wenyewe watanzania Siku kitatuumbua mchana kweupe