TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

Siku hizi TBC wamebaki kuonyesha Tamthiliya na live football match ndio vya ukweli vya kuviangalialia mana mengi yote lazima wachakachue kulinda matakwa ya wakubwa wa serikali
 
Pongezi nyingi kwa TBC kwa kutuonyesha ukweli halisi kwa matukio yalio tokea Arusha....

Ndessamburo ni mzee mwenye hulika za kihuni, uwezi sema eti nchi haiwezi tawalika kisa umepingwa mabomu... Ulipo sema unawataka viongozi walio kamatwa uwanjani kabla ya kumalizika kwa mkutano ulikuwa una maanisha kitu gani kwa wahuni wa Arusha?

Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa hatua walizochukua ndio ilikuwa stahili yao.
Wakati Ndesamburo anatoa anaongea vile tayari kulikuwa na mtu alie kuwa amepigwa risasi ya mguu na walipo mchukua kumpeleka hospitali ilibidi wapitie polisi ilikuchukua PF3 matokeo yake walio mpeleka na aliepigwa risasi wote walikamatwa...ulitaka wafanyaje au wao hawana roho..watu wana kibali cha kufanya maandamano na mkutano harafu wanakuja kupigwa mabomu na wahuni wa kikwete...Ndesa tuko pamoja acha watuue wote tunao itwa wahuni wa Arusha kwa faida ya Mganyizi na familia yake ingawa yeye hajui hilo kwajinsi alivyolewa...
 
Nimeona jinsi ilivyokuwa,na nikaujua angalau ukweli,unajua siku zote nachangia ukitaka kujua ukweli msikilize na wa upande wa 2,kila siku mnasema police wameuwa police wameuwa ,hv mlitaka mpk mfike kituoni muwauwe police ,mchukue bunduki ,muwatoe washtakiwa wenu ndo mjisifu??nimegundua ki2 viongozi wa cdm wanamapungufu vichwani,tena police wamejitaidi sn kupunguza idada ya vifo mlitakiwa kufa wengi zaidi.natoa oja polisi sio chanzo cha vifo arusha ila viongozi wasio na busara ndio chanzo,heti ndo tumpe nch pambafu.
Mwaka huu, mtaua wengi sana, mmeanza arusha, mbeya sijui mtafata sijui Arusha tena.....tulikuwa tunaenda polisi ndiyo,
waulize hao bwana zako sababu ya CDM kutaka kwenda polisi nini?
kwanini viongozi wa CDM walikamatwa?
kwanini walikataliwa dhamana licha ya masharti yote kutimizwa?
walianza kutumia risasi za moto saa ngapi? na ni maeneo gani walianza kuzitumia
tutaanzia hapo
 

Unajua Bomu la machozi lilitupwana na police na kuingia kwa jengo la salim ali na kuunguza magodoro na police wanasingizia ati wananchi walichoma kweli gorofa la pili wananchi walipita wapi choma hilo chengo? taarifa ya mwanzo police walikiri kuwa walilusha bomu la machozi likaenda wrong direction na kupasua vioo vya hilo jengo la salimu ali na kuunguza vitu iweje leo huyo police anasingizia waandamanaji?

kwenye hilo jengo ni polisi walipiga bomu tena walikuwa maeneo ya soko kuu na nikuwa maeneo ya jengo hilo waache kudanganya watu
 
Kwa busara ndogo zilizoonyeshwa na viongozi wa Chadema kwenye mkutano wao wa arusha na kupelekea mpambano wa ana kwa ana kati ya wafuasi wao na polisi na hivyo kupelekea kuuawa kwa vijana wale, viongozi wa Chadema wameshaichagua njia ya kuelekea kufa kisiasa, CCM inachopaswa kufanya sasa ni kuwakumbusha tu wananchi maafa yaliyotokea na sababu ya maafa hayo, kwisha kazi.
ulitaka wafanye nini? tena walivumilisana watu walitaka kuandamana kwenda polisi saa saba wakawaomba wasi fanye hivyo kwa kuwa kulikuwa na wanasheria wanafatilia swala,Mbeya pia chadema wamehusika!?
 
Ndio wanawasha moto wa mabadiliko mana wengi wanapiga simu nakudai sehemu askari anavunja vioo vya gari ionyeshwe.
kwenye tamko la polisi wanasema CDM walivunja vioo vya magari ya watu lakini Chanel ten walionyesha polisi akivunja vioo vya gari bila sababu yoyote ya msingi.....
 
hivi TBC ni chombo cha serikali au wananchi?

jambo. nakujibu kwa kukuuliza swali kama ilivyo hulka yetu watanzania. je CNN na BBC ni vyombo vya serikali au wananchi? ninavyojua cnn ni chombo cha watu binafsi lakini kiko makini sana kutangaza yale tu ambayo serikali inataka. nakuhakikishia wangetangaza yote wanayoyaona iraq na afghanistan wananchi waongekuwa wameandamana siku nyingi. ndio maana kuna neno embedded. na bbc kadhalika hawatangazi kisichfpendwa na serikali y
 
hata wafanyeje ukweli utabaki kua ukweli, wanafalsafa wanasema kua mara zote ukweli hujitafutia njia yake wenyewe, hivyo basi hata kama watachakua ripoti ya hali halisi ilivyokua arusha lakini wananchi na wazalendo kamwe hawato sahau risasi za moto zilizo waua ndugu zetu katika maandamano ya tar 5.
 
That is the journalism of TBC1, i suppose true journalism is not quoting people out of context. Hivi tukiwa na katiba mpya inayotoa usawa kwa wananchi wote TBC watakosa nini?

Mbona wanakosa uzalendo, I know TBC officials are rational people but they are just victim of suppression and dictatorship. Ni watu wa kuhurumia sana.
 
Hapo tusitegemee ukweli wowote wa tukio zima, hata zile sehemu za ukatili naamini wataweka matangazo ili zisionekane. Tusubiri
 
Hovyo Kabisa, siku za mabadiliko zinakuja nwa wasaliti wote watajulikana
 
The source is a bunch of opportunistic armature politicians who incited their followers to disobey a lawful order.
Their evil agenda is to gain political and financial mileage by exploiting disadvantaged youth.
That goal must be achieved by all means even by killing innocent people.

I hope now you know!

Waliomadarakani ndio maopportunist na wanabaki madarakani kwa kulindwa na bunduki. Wametengeneza "disadvantaged youth" ambao wanaweza kuwa exploited. Their goal is to cling kwenye madaraka by all means even by killing innocent people. Who killed? Police not Chadema. Why Chadema were a threat kwa wala kuku wezi.
 
Kwa busara ndogo zilizoonyeshwa na viongozi wa Chadema kwenye mkutano wao wa arusha na kupelekea mpambano wa ana kwa ana kati ya wafuasi wao na polisi na hivyo kupelekea kuuawa kwa vijana wale, viongozi wa Chadema wameshaichagua njia ya kuelekea kufa kisiasa, CCM inachopaswa kufanya sasa ni kuwakumbusha tu wananchi maafa yaliyotokea na sababu ya maafa hayo, kwisha kazi.

Busara yako unaipima kwa kigezo gani? Kama cha CCM na Makamba i am out.
 
Chadema walishajulikana ni watu wanaotaka kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani wa nchi hii.

Sababu za msingi hawana, kuhusu katiba JMK kisha waambia tayari tunashughulikia uundwaji wa tume. Umewashuka.

Kuhusu Arusha umeya, mpaka saini zao za mahudhurio ya kumchaguwa Meya zipo kwenye kitabu, kuwa walihudhuria, walipoona wanashindwa wakatoka. Mara wameanzisha fujo, wakapigana risasi, kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa chadema wenyewe ama kwa kutumia mbinu za chokochoko ndio waliuwa kwa risasi na kutaka kuisingizia Serikali. Umewashuka.

Wanachotaka ni umwagikaji damu, kafara za kanisa kila miaka 50 ni damu ya binadaam.

Unayajua mengi lakini unayajua kinyume nyume vipi kwani?
 
Wanajamii nawakumbusha kuangalia kipindi maalum cha vurugu za Arusha (kama wao walivyotangaza)nina uhakika picha zitakua zimechakachuliwa kama zile za chagonja.
 
TBC inazidi kupoteza mwelekeo kwa kurudia rudia hii docomentari yao
 
Back
Top Bottom