TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

Sijaona hata kipigo cha maana, hawa jamaa walikuwa na nafasi ya kuuwa hata mia, natamani IGP angekuwa Omar Mahita saa hizi tungekuwa tunaongelea maiti zaidi ya mia.
 
TBC sucks. Hiyo ripoti yao ni upumbavu mtupu! Badala ya kuonyesha ukweli wanajifanya wanatetea polisi kuua raia wetu na nchi jirani kwa misingi ya kisiasa. Pumbavu TBC 1. Watu wakichoka na uonevu wa polisi, wa chama tawala, na hata wa vyombo vya habari kama TBC huamsha vurugu ambazo kuzizima ni miaka. Pumbavu TBC na ripoti yenu
 
Rev Masanilo: Nakushangaa sana. Hata katika hili unasema Scum! Mambo Hadharani. Ukweli ndio huo. Imekula kwenu.
Sikuoni kama una tofauti na wale wanaoitakidi eti Yesu ni Mungu wakati yeye mwenyewe alisema naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yenu, kwa mungu wangu ambaye ni Mungu wenu!. Hivi we rev masanilo na genge lako wa wahuni : nani amewaloga?
 
TBC inazidi kupoteza mwelekeo kwa kurudia rudia hii docomentari yao

Si unajua tena ni muhimu kurudiarudia ili ata wale slow learners waelewe, Redio Tanzania inatumika pia ili watu wa vijijini wasio na access na vyombo vya habari wafahamu pia kilichotokea Arusha.

By the way viongozi wa Chadema wanapaswa kushukuru kupewa airtime ya hotuba zao walizozitoa Arusha, zinawafikia sasa Watanzania wa pande zote za nchi bureee bila ya kulipia ata senti, bahati iliyoje!!
 
Kama ni hivyo afadhali sikuangalia
ungeangalia ili uwajue wali ua na ndicho nilichofaidi kwamba sasa hivi ni kutanao nitajua nani aliua ndugu zetu.....kwani kabla ya hapo mimi nilikuwa najidanganya eti wale wanafunzi wa ccp kumbe ni hawa tunao ishi nao.....asante tbc1
 
Ndugu wana JF, tangu jana kuna tangazo linaoneshwa TBC1 kuhusu vurugu za Arusha lakini linakera kwa sababu linapendelea upande mmoja wa polisi na kufanya Watanzania waamini maandamano ya Chadema yalikuwa na lengo la kwenda kuvamia kituo cha polisi na kupora silaha.

Huo ndio ujumbe nilioupata kutoka kwa ‘commentator’ wa tangazo hilo na naona haliwatendei haki Watanzania. Chanzo cha vurugu za Arusha zinafahamika ni uchaguzi tata wa meya Arusha. Kwa nini sasa waliotengeneza tangazo hilo hawaoneshi tangu A hadi Z na wanaonesha Z tu? Wanataka Watanzania waamini nini?

Kama habari za kiintelegensia ni za kweli mbona hatujasikia hao walikuwa wamepanga kufanya uvunjifu wa amani wakati wa maaandamano wamekatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria na badala yake walikamatwa tu viongozi wa maandamo?

Nionanvyo mimi, tangazo hilo, ambalo linaonesha limetoka Idara ya Habari (Maelezo), linahalalisha polisi polisi kupiga waandamanani na kuua baadhi ya wananchi. Ila najiuliza kwa nini baadhi ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na polisi haukuoneshwa kama vile kuna watu walidai waliporwa simu na polisi, lakini sehemu hiyo haioneshwa?

Pia, kuna polisi walionekana wakishambulia gari moja jekundu hivi wakitumia virungu vyao kuvunja vioo vya gari hilo na tukio hilo halioneshwi wakati kwenye runinga zingine tuliona polisi wakivunja vioo vya hilo gari na hata pengine kumjeruhi dereva wake. Hilo gari, kwa mfano, lilikosa nini hadi livunjwe vioo? Ndiyo ulinzi wa raia na mali zao?

Hata kama polisi waliona kuna haja ya kutumia silaha ni lazima mpaka waue? Kama nia ni kufikiri Watanzania ni wajinga na wanaweza kurubuniwa, muda huo umekwisha. Watanzania siyo wajinga kiasi hicho (ingawa wengine ni wajinga ndiyo). Wana uwezo wa kusoma kilicho nyuma ya pazia na kujua ukweli na ukweli haugeuki. Mojawapo ya ‘attributes’ za ukweli ni ‘immutability’. Hivyo, ni kupoteza muda kuwapotosha Watanzania na kujenga dhana kwamba polisi ndio wanaotoa haki za raia kuandamana na kwamba wakitoa tamko basi ni amri halali hata kama kufanya hivyo wanavunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (kama inavyobadilishwa mara kwa mara) na kubaka demokrasia.
 
Sijaona hata kipigo cha maana, hawa jamaa walikuwa na nafasi ya kuuwa hata mia, natamani IGP angekuwa Omar Mahita saa hizi tungekuwa tunaongelea maiti zaidi ya mia.

Kama kawaida na tufegi fegi huwa hatukosekani. Nikisema ni bangi ya kujifukizia nitakuwa nimekosea wakuu?
 
Ndugu wana JF, tangu jana kuna tangazo linaoneshwa TBC1 kuhusu vurugu za Arusha lakini linakera kwa sababu linapendelea upande mmoja wa polisi na kufanya Watanzania waamini maandamano ya Chadema yalikuwa na lengo la kwenda kuvamia kituo cha polisi na kupora silaha.

Huo ndio ujumbe nilioupata kutoka kwa ‘commentator' wa tangazo hilo na naona haliwatendei haki Watanzania. Chanzo cha vurugu za Arusha zinafahamika ni uchaguzi tata wa meya Arusha. Kwa nini sasa waliotengeneza tangazo hilo hawaoneshi tangu A hadi Z na wanaonesha Z tu? Wanataka Watanzania waamini nini?

Kama habari za kiintelegensia ni za kweli mbona hatujasikia hao walikuwa wamepanga kufanya uvunjifu wa amani wakati wa maaandamano wamekatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria na badala yake walikamatwa tu viongozi wa maandamo?

Nionanvyo mimi, tangazo hilo, ambalo linaonesha limetoka Idara ya Habari (Maelezo), linahalalisha polisi polisi kupiga waandamanani na kuua baadhi ya wananchi. Ila najiuliza kwa nini baadhi ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na polisi haukuoneshwa kama vile kuna watu walidai waliporwa simu na polisi, lakini sehemu hiyo haioneshwa?

Pia, kuna polisi walionekana wakishambulia gari moja jekundu hivi wakitumia virungu vyao kuvunja vioo vya gari hilo na tukio hilo halioneshwi wakati kwenye runinga zingine tuliona polisi wakivunja vioo vya hilo gari na hata pengine kumjeruhi dereva wake. Hilo gari, kwa mfano, lilikosa nini hadi livunjwe vioo? Ndiyo ulinzi wa raia na mali zao?

Hata kama polisi waliona kuna haja ya kutumia silaha ni lazima mpaka waue? Kama nia ni kufikiri Watanzania ni wajinga na wanaweza kurubuniwa, muda huo umekwisha. Watanzania siyo wajinga kiasi hicho (ingawa wengine ni wajinga ndiyo). Wana uwezo wa kusoma kilicho nyuma ya pazia na kujua ukweli na ukweli haugeuki. Mojawapo ya ‘attributes' za ukweli ni ‘immutability'. Hivyo, ni kupoteza muda kuwapotosha Watanzania na kujenga dhana kwamba polisi ndio wanaotoa haki za raia kuandamana na kwamba wakitoa tamko basi ni amri halali hata kama kufanya hivyo wanavunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (kama inavyobadilishwa mara kwa mara) na kubaka demokrasia.
Du!
We bado unaangalia TBC1??????
kwa nini unajitesa hivyo??
 
Nimeicheki mwishomwisho,yaani ni full propaganda.Muda wote wanakazania eti viongozi waliwahamasisha wafuasi wao kwenda kuvamia kituo cha polisi.Lengo lao(serikali)kubwa ni kuuchochea umma waichukie CDM....pumbaf kabisa!
 
Hayo matangazo si yanalipiwa na kodi tunayolipa? Ni kama wakati ule walipotembelea nchi nzima kukampenia bajeti mbovu ya Meghji. Matumizi mabovu sana ya resources.. sjui ili iweje?

People have already made up their mind na siyo mazuzu kama wanavyofikiria
 
Nimeicheki mwishomwisho,yaani ni full propaganda.Muda wote wanakazania eti viongozi waliwahamasisha wafuasi wao kwenda kuvamia kituo cha polisi.Lengo lao(serikali)kubwa ni kuuchochea umma waichukie CDM....pumbaf kabisa!

Bahati nzuri viongozi wa Chadema pia wamepewa nafasi ya kusikika, sehemu ya hotuba za Ndesambulo, Dr. Slaa na yule mwenzao yamesikika vizuri.
 
Bahati nzuri viongozi wa Chadema pia wamepewa nafasi ya kusikika, sehemu ya hotuba za Ndesambulo, Dr. Slaa na yule mwenzao yamesikika vizuri.

Tanzania hii ya sasa si ya mabwege tena. Watu wanajua kuchambua pumba na mchele. Few stupids will buy the story. Hiki si kipindi cha kueneza propaganda ambazo hazijengi nchi ila zinaendelea kutuletea umaskini kwa kukutetea maslahi ya wachache. Mbaya sana polisi kujiingiza kwenye siasa
 
I bet, the reverse will be true.
 
TBC ilishapoteza mwelekeo tido alijaribu kuwadindia sisim wasiigeuze tv ya taifa kuwa chombo chao cha propaganda, wakamtisha kukatisha mkataba. Tbc hakuna jipya zaidi ya propaganda za sisim kama vp ipotezeee.
 
Elewa kuwa mkutano wa mwisho wa kuwaaga watu walikufa kutokana na maandamano yale lilitolewa tamko rasmi la chama. Katika tamko hilo jeshi la polisi hususani viongozi wake walitakiwa wajiuzulu nyazifa zao. Kwa vyovyote vile lile litakuwa limelikera jeshi la polisi na linachokifanya sasa ni kurevenge.
Bado hali hii inaweza kuendelea kwa muda kidogo, kutokana na jeshi la polisi kuonekana kama linatumika kisiasa zaidi.
 
Wana jamii mmeangalia kipindi maalum TBC1 TV saa mbili na nusu usiku huu?ni AIBU kubwa hivi wanachakachua mpaka taarifa ambazo zilipatikana live na TV zingine na mpaka nyingine zipo kwenye youtube?? wanawaona watanzania bado ni wapuuzi na mbumbumbu kiasi hicho cha kuwadanganya kwa ku edit karibu wiki nzima na kuonyesha vitu vya upande mmoja? hivi wewe mhariri huoni aibu?.Shame on you.!
 
Wanatafuta jinsi ya kujisafisha,lazima waelewe kwamba hawawezi kudanganya watu wote kwa wakati wote.....watawadanganya wachache kwa wakati fulani tu.Ipo siku nguvu ya umma itasimama on the top of Kilimanjanjo....!
 
Back
Top Bottom