J_Okay
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 318
- 196
I beg to differ, mengi ya hayo waliyoripoti ni ya kweli.
Tatizo ni wewe ambaye unasikiliza yanayokufurahisha na ku shout kama kichaa yakisemwa usiyoyapenda.
Kwa mfano, ni kweli kuwa Ulimwengu alisema tujirekebishe kimaadili (kujenga what he called national ethos) kabla ya kuandika katiba.
Tena Ulimwengu aliendelea kwa kusema wa Tz hawawezi kuandika katiba kutokana na hali yao, corrupt na ignorant.

Duh, jamani hili shirika letu linakufa kabisa sasa. Jana nimehudhulia kongamano la katiba pale Nkurumah Hall, nimekuja kuangalia habari TBC1, ujinga wanaoufanya, unaweza kulia.
Eti wamemnukuu Professor Shivji akisema hakuna haja ya Katiba mpya, iliyopo inaeza kurekebishwa tu, na eti kasema anamuunga mkono raisi uundwaji wa tume, hivyo hivyo wakamnukuu Ulimwengu akisema lazima tujirekebishe kwanza kimaadili kabla ya kupata katiba mpya.
Eti, mpaka Tundu lisu kasema hatuhitaji katiba mpya? ya tundu lisu wamechakakua kabisaaaaa.
mtu ambae hakuenda kwenye kongamano, na ambaye hajaona wala kusikia toka kwingine kuhusu kongamano hilo, na akawa ameangalia TBC1 peke yake, atahitimisha kwamba watu wote wa kwenye kongamano hawakua wanataka katiba mpya, hii dhambi kubwa sana TBC1.
yaani wamechukua vipengele vya sentensi na kuziunga unga, ili kupata upotoshaji huo walioufanya. hii dhambi kubwa sana kufanywa na shirika letu, na bila shaka shirika litakufa sasa hivi, wamuulize Rostam na magazeti yake kama anauza, siku hizi ni hasara tupu.