Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,050
- 656
Mwisho wao utafika tu kuna mambo ya kujisafisha si hilo la Arusha.
Wanajamii wenzangu nimefuatlia ktk vituo vitatu tofaut,ITV,TBC1 na CH10 na kugundua kuwa serikal imeandaa kipind hik maalum kwa ajil ya kulisafisha jesh la polis na kukichafua CDM,make mtangazaj ana sistza kuwa yote yalotokea lawama kw CDM,shame upon their faces.