Majifanya vichaa mpaka kwenye mambo ya msingi.Wanazungusha hadi mauno, na haiwi chochote
Kama muadilifu kwa nini uwe na HOFU. Utajaji....Hapa HOFU TU!
Kuna dikteta zaidi ya Mwenyekiti wa Chama Wa Maisha?!?!?!?Dikteta katahayari na kugundua alikosea sana kutaka kubaka demokrasi ya bunge live, lakini bado kuna mengi tu ndani ya Serikali hii kuhusu ubakaji wa demokrasi nchini ambayo ni lazima tuendelee kuyamulika kwa nguvu zote.
kasema ni tbc mkuuSource ya habari please..!!
Hawa TBC nao vigeugeuNi kupitia TBC2. Wanadai wataonesha saa 3 asubuhi saa sita mchana, saa kumi na moja jioni na saa 4 usiku (recorded). Chanzo TBC
Naona hatimaye wamebana wee wameachia. Ila nina maswali kadhaa:
Je, TV binafsi zitaruhusiwa kurusha pia?
Je Je huo muda TBC wanarusha live watu watakuwa hawafanyi kazi? Kwa sababu walisema mwanzo lengo la kuzuia ni ili watu wafanye kazi!
Je, kwa nini wameamus kulificha bunge kwenye channel ya kulipia, yaani TBC2? Je kuangalia bunge likijadili mambo yetu wananchi ni luxury?
Je wale wasioweza kulipia hiyo channel hawana haki ya kuwasikia wawakilishi wao wakizungumzia matatizo yao bungeni?
Nina maswali mengi,
Hata hivyo niwapongeze wahusika kwa kukubali kwambs hapa walichemka! Naamini huu utakuwa mwanzo wa kuturudishia wananchi haki yetu ya kufuatilia kikamilifu yanayofanywa na wawakilishi wetu!
Mkuu huyo hajui maana ya live, maana kaja mjini hivi karibuni kwa Lori la ng'ombeA
Acha uwongo hawarushi live
Kuna jambo lenye manufaa kwa taifa zaidi ya sisi wananchi kushiriki bunge live kwa kusikiliza wawakolishi wetu wakihoji serikali kuhusu kodi zetu? Hujui bunge kuoneshwa live linatufanya na sisi wananchi kushiriki moja kwa moja kuchangia na kukosoa pale wawakolishi wetu na serikali wanapofanya mambo yssiyo na maslaha kwetu? Acheni kujichanganya nyie majuha!Hii kwangu siyo hoja hata kidogo tunamambo mengi sana ya kujali yenye manufaa kwa taifa.
Hii kwangu siyo hoja hata kidogo tunamambo mengi sana ya kujali yenye manufaa kwa taifa.