TBC watangaza rasmi kuonesha Bunge live

TBC watangaza rasmi kuonesha Bunge live

Watu wengi vijijini hata mijini hawana access na Tbc2 maana kwenye ving'amuzi vingi (hapa niko tayari kukosolewa)hii Chanel iko kwenye parkage za kulipia wakati TBC iko free everywhere.Jiulize kwanini hawaonyeshi kupitia TBC 1?
Nasema ni ujuha ule ule wa kuendelea kufikiri Watanzania wa leo bado ni wale wale wasiojitambua.Tena wamefikia hatua hii baada ya Zitto kuwaaibisha jana bungeni kwa kuwaona jinsi wasivyojitambua kwa kutofaidika na hata senti moja na uwekezaji star times.Star times ni m-bia mwenza na tbc kwenye vingamuzi na tbc hawakuwahi kulipwa kwa uuzwaji wa vingamuzi ambavyo Zitto aliwaambia malipo yake yangetosha kulionesha bunge live.Sasa kulionyesha live kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa sita mchana tena Tbc 2 ambayo ni ya kulipia inaonyesha ujuha zaidi kwanini hawawaruhusu vituo vingine binafsi vikaonyesha?Wachoficha ni nini?Wabunge wa ile ile na baadhi ya mawaziri wao kuumbuliwa live na majembe ya ukawa na upinzani ambao wabunge wao wako vizuri zaidi.Yaani hata wangelirudisha kulionyesha live kama mwanzo isingekuwepo haja ya kuwapongeza kwani wametimiza wajibu wao.
 
Si wamruhisu tu Azamu asogeze mitambo yake pale
 
Kama kisheria ni haki ya kuona Bunge basi haijalishi Nina pata hasira au faida ila kwa sababu ni haki yangu basi shurti nilione tuache siasa
hakuna sheria inayosema uone bunge kuna sheria ya uhuru wa kupata habari
 
Hivi ni kweli TBC2 wanaonyesha au?
Wakujibu waliosikia tangazo lao kwani wengi tulikuwa tuna tune Tbc kipindi cha bunge lilipokuwa live tu wakimaliza tunarudi kwenye vituo vyetu pendwa.Hata hivyo usisahau uwepo wa mavuvuzela mengi ya ile ile humu Jf na uongo ni kanuni yao.Maneno yao mia chukua moja au acha yote.
 
Ni kupitia TBC2. Wanadai wataonesha saa 3 asubuhi saa sita mchana, saa kumi na moja jioni na saa 4 usiku (recorded). Chanzo TBC

Naona hatimaye wamebana wee wameachia. Ila nina maswali kadhaa:

Je, TV binafsi zitaruhusiwa kurusha pia?
Je Je huo muda TBC wanarusha live watu watakuwa hawafanyi kazi? Kwa sababu walisema mwanzo lengo la kuzuia ni ili watu wafanye kazi!

Je, kwa nini wameamus kulificha bunge kwenye channel ya kulipia, yaani TBC2? Je kuangalia bunge likijadili mambo yetu wananchi ni luxury?

Je wale wasioweza kulipia hiyo channel hawana haki ya kuwasikia wawakilishi wao wakizungumzia matatizo yao bungeni?

Nina maswali mengi,
Hata hivyo niwapongeze wahusika kwa kukubali kwambs hapa walichemka! Naamini huu utakuwa mwanzo wa kuturudishia wananchi haki yetu ya kufuatilia kikamilifu yanayofanywa na wawakilishi wetu!
Yani hata hueleweki, umejiuliza maswali kibao na umejijibu wewe mwenyewe, sometimes chadema sawa na mke mwenye gubu (Nagging wife) ukimpa hiki, anakuuliza kile, akipata hiki anasema mbona zamani ulikuwa hunipi! Ni jipu nyie.
 
Kwakweli ENDAPO MUNGU ATASIKIA MAOMBI YA BAADHI YA WATANZANIA KUNA WENGI WATAAIBIKA
 
Ni kupitia TBC2. Wanadai wataonesha saa 3 asubuhi saa sita mchana, saa kumi na moja jioni na saa 4 usiku (recorded). Chanzo TBC

Naona hatimaye wamebana wee wameachia. Ila nina maswali kadhaa:

Je, TV binafsi zitaruhusiwa kurusha pia?
Je Je huo muda TBC wanarusha live watu watakuwa hawafanyi kazi? Kwa sababu walisema mwanzo lengo la kuzuia ni ili watu wafanye kazi!

Je, kwa nini wameamus kulificha bunge kwenye channel ya kulipia, yaani TBC2? Je kuangalia bunge likijadili mambo yetu wananchi ni luxury?

Je wale wasioweza kulipia hiyo channel hawana haki ya kuwasikia wawakilishi wao wakizungumzia matatizo yao bungeni?

Nina maswali mengi,
Hata hivyo niwapongeze wahusika kwa kukubali kwambs hapa walichemka! Naamini huu utakuwa mwanzo wa kuturudishia wananchi haki yetu ya kufuatilia kikamilifu yanayofanywa na wawakilishi wetu!

Recorded kwa maana ya hawa jamaa na mfumo wao wa kilaghai , inatafsiri ya karibu kama si ya moja kwa moja na edited!. Sijui kama LIVE na RECORDED ni kitu kimoja. Kama niko nje, naomba nirejeshwe.
 
Bunge linatakiwa lioneshwe live bila chenga ni haki yetu kama hawataki wapunguze kodi tunazolipa.
 
Watu wengi vijijini hata mijini hawana access na Tbc2 maana kwenye ving'amuzi vingi (hapa niko tayari kukosolewa)hii Chanel iko kwenye parkage za kulipia wakati TBC iko free everywhere.Jiulize kwanini hawaonyeshi kupitia TBC 1?
Kwa sababu wanaamini watu wa vijijini don't deserve to know the truth! They say, "let the sleeping dog lies" Ndio njia pekee ya kupata kura za vijijini kwa CCM, kuwanyima exposure hawa watu. Mpaka leo kisima cha ndoo kifunguliwe kwa ribons na TV!
 
Chadema sasa ishu ya matangazo live imeisha shalandia nini sasa sijui ? Au bado mnazungusha mikono
 
Ni kupitia TBC2. Wanadai wataonesha saa 3 asubuhi saa sita mchana, saa kumi na moja jioni na saa 4 usiku (recorded). Chanzo TBC

Naona hatimaye wamebana wee wameachia. Ila nina maswali kadhaa:

Je, TV binafsi zitaruhusiwa kurusha pia?
Je Je huo muda TBC wanarusha live watu watakuwa hawafanyi kazi? Kwa sababu walisema mwanzo lengo la kuzuia ni ili watu wafanye kazi!

Je, kwa nini wameamus kulificha bunge kwenye channel ya kulipia, yaani TBC2? Je kuangalia bunge likijadili mambo yetu wananchi ni luxury?

Je wale wasioweza kulipia hiyo channel hawana haki ya kuwasikia wawakilishi wao wakizungumzia matatizo yao bungeni?

Nina maswali mengi,
Hata hivyo niwapongeze wahusika kwa kukubali kwambs hapa walichemka! Naamini huu utakuwa mwanzo wa kuturudishia wananchi haki yetu ya kufuatilia kikamilifu yanayofanywa na wawakilishi wetu!
Hiyo TBC2 mpaka ilipiwe wameweka kibiashara tuu si wote wenye uwezo wa kulipia channel
 
Back
Top Bottom