TBC watangaza rasmi kuonesha Bunge live

TBC watangaza rasmi kuonesha Bunge live

Chadema sasa ishu ya matangazo live imeisha shalandia nini sasa sijui ? Au bado mnazungusha mikono
Ww ndio mchovu kweli. Hivi kama si upinzani kuwapigia kelele huwa ccm wanasikia malalamiko ya wananchi? Nawapongeza sn upinzani kwa kutetea haki za wananchi.
 
Wakuu leo nimeona kama bunge likionyeshwa live sasa sijaelewa kama ndo limerudi moja kwa moja au mara moja kisha watakata matangazo?
Wanaonyesha live huku wamatetemeka ndio maana wakakata.hawajiamini
 
Back
Top Bottom