kati ya mambo ambayo nitakua wa mwisho kuamini ni kwamba hii wizara itafanya vizuri ikiwa chini ya huyu waziri.[emoji16] [emoji16]Waziri mzigo
hakuna sheria inayosema uone bunge kuna sheria ya uhuru wa kupata habari
Ukiona hivyo leo hakuna cha maana cha kudiscuss zaidi ya kutambulisha wageni wao kule jukwaaniWakuu leo nimeona kama bunge likionyeshwa live sasa sijaelewa kama ndo limerudi moja kwa moja au mara moja kisha watakata matangazo?
TV gani na muda gani? ? TBC2 ni ile wame record ndio wanarusha baada lisaa 1Wakuu leo nimeona kama bunge likionyeshwa live sasa sijaelewa kama ndo limerudi moja kwa moja au mara moja kisha watakata matangazo?
Wakuu leo nimeona kama bunge likionyeshwa live sasa sijaelewa kama ndo limerudi moja kwa moja au mara moja kisha watakata matangazo?
Saa ngapi umelioba? Kupitia channel gani? Nijuacho, tangu kikao cha baraza la mawaziri kikae Dodoma, bunge liko live kupitia tbc1 maswali na majibu na kupitia tbc2 hoja za serikali, mijadala ya budget.Wakuu leo nimeona kama bunge likionyeshwa live sasa sijaelewa kama ndo limerudi moja kwa moja au mara moja kisha watakata matangazo?