TBC watangaza rasmi kuonesha Bunge live

TBC watangaza rasmi kuonesha Bunge live

ni ajabu sana mambo tunayojadili kama wananchi hayana impact yoyote kwa manifaa ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja.
Yana impact kubwa sana na yanagusa maendeleo hata yako mwenyewe!, ila inahitaji kufikiri kwa makini ndio ufikie conclusion hii.
 
Hata ukiangalia hayo matangazo hamna neno live na ni kweli siyo live for 1hr back
Kwa hiyo mantiki ya kusema angalia bunge live kupitia TBC2 mida hiyo wsliyoiweka ni nini? Wanawahadaa watanzsnia? Yaani utangaze bunge litakuwa live halafu uweke recorded? Si ni dharau kwa watz?
 
Watu wengi vijijini hata mijini hawana access na Tbc2 maana kwenye ving'amuzi vingi (hapa niko tayari kukosolewa)hii Chanel iko kwenye parkage za kulipia wakati TBC iko free everywhere.Jiulize kwanini hawaonyeshi kupitia TBC 1?
Hapo sawa Hawa jamaa wajanja sana,nakubaliana na wewe.
 
ni ajabu sana mambo tunayojadili kama wananchi hayana impact yoyote kwa manifaa ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja.
Yanayojadiliwa bungeni yana impact ya dunia nzima?
 
Hivi kama hawataki liwe live kunahaja ya wao kwenda bungeni. ,,..,...,?
 
Kwani ni nani anayelazimisha TBC kurusha matangazo live? kwa nini wasiwaachie vituo vingine vikafanya hivyo?
 
Shida unapokuwa Wabunge wanaokwenda kujipendekeza kwa serkali badala ya kuisimamia.Ndugai na wenzake historia itawahukumu kwa kutudisha karne ya kumi na nane.Wameligeuza bunge kuwa taasisi butu kabisa.Na wabunge wa CCM wametumbukia kwenye mtego.Kwa mfano hawa wa viti maalum toka CCM wanasikitisha kabisa kuna haja ya kubadilisha mfumo wa jinsi wanavyopatikana,Kwa kweli wanatia aibu kabisa mhimili wa bunge.
Pamoja na kubana mimi nimeipenda hii maana sasa kina Kabwe na Wengine watafute agenda endelevu badala ya kila kukicha kuleta ya bunge Live. Serikali za kila nchi ambazo ni makini hufanya U-Turn pale wanapokosea. Naomba mtu anitajie hata nchi moja ambayo haijafanya U Turn katika kubadilisha walichokileta bungeni.
 
TBC 2 ni kituo cha kulipia !
bado tatizo liko pale pale !
Hapo mwenye uwezo kama Mimi tutafaidi
Je masikini wa local wataona je ??
Hapa mbwembwebtu kazi 2020
Si mlikua masema hata kulipia mtalipia humu?? watu kama hamna la kusema si make kimya? Mimi nilishasema huko nyuma mfano wa BBC kuwa hawaonyeshi bure ila wanaonyesha katika channel ambayo ipo katika cable na siyo free to air mkanitukana, mkasema kuwa watu watalipia leo mnaanza kulalama.
 
ni ajabu sana mambo tunayojadili kama wananchi hayana impact yoyote kwa manifaa ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja.

Wewe ni wa kupuuzwa tu, ni aibu sana mtu mzma na akili yako kujitoa ufahamu kwa ajili ya tumbo lako
 
Wanaficha nini ? Na wanaogopa nini? Watanzania wan vitu vyao wanavyoangalia kama serikali hii ita navyo hakuna haja kuficha bunge! Serikali iliyopita ndio iliharibu kila kitu kwenye rushwa na ufisadi! Sasa wanaogopa nini?
kuna wabunge wamegeuza bunge ukumbi wa kupiga show,inashusha hadhi ya muhimili kwa kweli!
 
Asilimia 80% ya wapiga kura wapo vijijini.Na watu wa vijijini hawana uwezo wa kuona TBC2.
Bado mfumo wa habari za bunge umeminywa.
Unaiumbua serikali kwa kupeleka umeme vijijini kwamba hakuna umuhimu wowote wa kuwa na umeme
 
Back
Top Bottom