TBC watangaza rasmi kuonesha Bunge live

TBC watangaza rasmi kuonesha Bunge live

Wasirushe kabisa maana chaggadema aka kncu wanatafuta hoja ya nitoke vipi....
 
Leo nilikuwa nyumbani kwa kiongozi mmoja wa serikali nikakuta wanaangalia clouds tv nikaomba rafiki yangu abadili tucheki TBC akasema huwa wanaangalia TBC kukiwa na press conference ya Rais.
Sasa hiyo clouds TV na TBC wanatofauti gani wote ccm.hoja yako ziro tu
 
Warushe wasirushe Kipimo chao Waheshimiwa Bungeni siyo kuwaona Ktk Runinga.TUTAWAPIMA KWA MAENDELEO YAPI NA WAMELIFANYIA NINI JIMBO.Na siyo kuona SURA zao Mjengoni.
 
Mbona liko live toka mwanzo ila linarushwa na TBC2 kupitia studio ya bunge.
Ugomvi ni UKAWA wanataka lirushwe na TBC1 na studio za bunge ziondolewe!!!

We huoni tatizo hapo? Toka lirushwe tbc 2 watu hawajaona. Sasa wanamrushia nani?...watanzania wengi wapo tbc 1, local channel...
 
Warushe wasirushe Kipimo chao Waheshimiwa Bungeni siyo kuwaona Ktk Runinga.TUTAWAPIMA KWA MAENDELEO YAPI NA WAMELIFANYIA NINI JIMBO.Na siyo kuona SURA zao Mjengoni.

Sidhani kurushwa kwa bunge live lengo lake ni kuona sura za wabunge!

Huo mchezo wakuminya maendeleo jimboni mwa wapinzani ni ubaguzi tena mbaya sana...fanyeni tena hayo mwone kama kama kuna tija...
 
Hilo suala la kusitisha matangazo ya bunge moja kwa moja litawatfuna sana ktk uchaguzi ujao, wanajitia upofu kutoona umhimu wa kuachia matangazo ili wananchi wawapime kwa utendaji wao. Tungoje tutakaokuwa hai tutajionea.
 
Tokea ilipoanza kuonyeshwa live ilikusaidia nini ki mental na kiuchumi kama mtanzazania mwangaikaji?
 
Bora lioneshwe hata kama ni kwenye Chanel ya kulipia tutalifuata huko huko
 
Tokea ilipoanza kuonyeshwa live ilikusaidia nini ki mental na kiuchumi kama mtanzazania mwangaikaji?
Ilinisaidia kujua nani ni mwizi na nani ni mtetezi wa wezi na ni nani anafaa kupokea ufunguo wa magogoni baada ya vasco dagama kupumzika. Hata ubora na udhaifu wa Eddo na Jpm niliujua kupitia bunge live na hiyo ilinisaidia kufanya maamuzi sahihi ktk sanduku la kura.
 
Wananchi kwa kweli tunanyimwa kijua mengi kuhusu nchi yetu. Kipindi kile bunge linaoneshwa live ilikuwa ni elimu tosha hasa wakati wa majadiliano. Watu wanadadavua mambo tunazijua kwa undani wizara mbslimbali na mambo zinayofanya. Tulifunguliwa macho kujua mengi kuhusu nchi yetu! Leo hii eti bunge linaoneshwa usiku wa manane, saa tano saa sita usiku, nani atakesha anaangalia bunge? Hivi ccm kweli mmefanya utafiti mkagundua kwamba mmmekuwa mnapoteza kuaminika kwa watanzania kwa sabsbu ya kuwaonesha bunge live? Na mna hakika kutokuonesha bunge live kutswasaidia? Angalieni hili lisije likabackfire!
 
Umesahau ya kua tuko katika ulimwengu wa digital hata hiyo TBC1lazima ulipie.
Na iweje uweze kununu TV, king'amuzi na uwezo wa kulipa umeme alafu ushindwe kulipia king'amuzi. Hata hivyo asiweza anakaushatu, Kama Ni hali mbona kila mwananchi hamiliki TV.
 
Hee kupata taarifa sio jambo muhimu amakweli ukiwa ccm utakuwa kipofu wa akili
Ni muhimu ila mkuu ukiachana hayo mambo ya CCM yenu, asilimia ngapi ya watanzania wanaopata habari kupitia TV?
 
Back
Top Bottom