Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,754
- 3,680
Magari ya mitumba yako barabarani tele, magagulo ya mitumba yalikuwa bwerere Manzese. Ya nini kushangaa mabehewa na vichwa vya tereni vya mitumba??? Tafuta wataalamu wa kuelezee kwa nini mitumba ya hivi vitu hasa kipindi hiki baada ya janga la covid.