Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,314
wakuu,salaam.
kama kuna mtu kaangalia TBC taarifa ya habari usiku huu kuna dada alikuwa anatangaza utabiri wa hali ya hewa alikuwa kavaa nguo zisizoendana na maadili ya mtanzania ukizingatia huu ni mwezi mtukufu.
alikuwa kavaa blause inayoonesha sehemu ya maziwa yake na sehemu ya tumbo kichini ya kitovu.
sipendi kabisa kuitazama ila leo nikuwa ugenini sehemu na kukutana na hicho kihoja.