Tbc sasa mmevuka mipaka,aibu!

Tbc sasa mmevuka mipaka,aibu!

nyie mnaojifanya hamuangalii TBC BUNGE likianza hutaangalia?
 
Tutafutie jina lake na namba za simu, ili tumlaisishie kazi apate wateja fasta fasta
 
UNgeleta evidence ya Picha kama kweli alikuwa amevaa isivyo. Wadada hawa wa TMA nawakaubali mavazi yao si rahisi wavae nusu uchi kwenye Tv ya Taifa. Labda alivaa brown Body suit ndani ya blauzi nyingine ukashindwa kutambua rangi.
 
Back
Top Bottom