Tbc sasa mmevuka mipaka,aibu!

Tbc sasa mmevuka mipaka,aibu!

tatizo ni mtazamaji ambaye ni mtoa mada ana tamaa na vitovu na maziwa ya wanawake...................:bored:
 
makoyo nitake radhi bana
 
Last edited by a moderator:
pole sana, bado unatazama tbccm? ni majanga, nadhani bado upo analojia, wenzio tulisha delete hizo channel
 
Acha ushamba hakuna tv inatangaza hali ya hewa ila hali ya hewa inawatangazaji wake binafsi
 
ndio mkome kuandalia....tbc ni kituko mkuu
 
Amekukomesha wewe unayeangalia Tv iliyopitwa na muda. Kama umekosa ya ku watch angalia hata Angola Tv
 
wakuu,salaam.
kama kuna mtu kaangalia TBC taarifa ya habari usiku huu kuna dada alikuwa anatangaza utabiri wa hali ya hewa alikuwa kavaa nguo zisizoendana na maadili ya mtanzania ukizingatia huu ni mwezi mtukufu.
alikuwa kavaa blause inayoonesha sehemu ya maziwa yake na sehemu ya tumbo kichini ya kitovu.

sipendi kabisa kuitazama ila leo nikuwa ugenini sehemu na kukutana na hicho kihoja.

Maadili ya mtanzania ni yapi?Kabla ya waarabu na wazungu kuja Tanganyika na Zanzibar walikuwa wanavaa nguo gani?Au kwa sababu kamera ilikuwa haijavumbuliwa kwa hiyo hujui walikuwa wanavaa vipi?
Kwa taarifa yako wote wanaume kwa wanawake walikuwa wanaziba 'ikulu' tu pale kwa kipande cha ngozi!sasa kwa Mila kamili za kitanzania huyo dada amejisitiri sana!labda kama unazungumzia Mila za kizungu na za kiarabu tulizocopy na kuziita zetu ambazo kwangu mimi mtu akizishabikia namuona MTUMWA WA FIKRA!
Kwa hiyo nakuomba uache kabisa tabia ya kukosoa watu wengine na kuona kile unachoamini ndio sahihi,kwani wewe ni mmojawapo wa WATUMWA WA FIKRA!
 
mnamlaumu bure huyo dada,,, hakukurupuka kuvaa hiyo nguo,,,,,,
msingi wa hayo yote ni malezi tena yanayochangiwa na sisi wanaume....
Utakuta kuna libaba limeongozana na mtoto kimevalishwa kinguo cha ajabu mpaka unashangaa tena ye ndo kamnunulia,,,,
sasa hiki kitoto kikifikia utu uzima unategemea atavaa nguo za aina gani????

Halafu naamini asilimia kubwa ya wanawake wameolewa au wapo kwenye uhusiano na wanaume, kama humshauri avae mavazi ya kujistiri,,,, badala yake wanavaa vinguo vya nusu uchi na mnaongozana nao barabarani halafu utakuta jamaa ndo anaona sifa mwenyewe yupo na mtoto mkali mambo ya kizungu kumbe ni ujinga,,,,,,,,basi usishangae huyo naye akivaa hivyo mwache apate hewa huyo keshakauka huwezi kumkunja.....
 
Hivi bado wako hewani??? Mimi nina zaidi ya miezi sita TBC sijaitia machoni kwani imepotea kwenye dishi langu la 6 ft. Nikawapigia simu wakasema nitafute king'amuzi, nikawauliza kwa hiyo nikinunua king'amuzi hili dishi nitupe? Hasara hii atanifidia nani? Sikupata majibu. Basi mimi naendelea kuangalia ITV and related, Chanel 10, star and others na kwa kweli sijajuta na hakuna ninachokosa.
 
Acha ushamba hakuna tv inatangaza hali ya hewa ila hali ya hewa inawatangazaji wake binafsi
Ok tukubaliane nawe kwamba mamlaka ya hali ya hewa ina watangazaji wake. Je kama wakija studio au kurekodi kipindi wakiwa uchi wanapaswa kuruhusiwa na TV station husika???
 
Nawe kama ulijua mwezi mtukufu waangaliaje TBC(TaBiaChafu)? Wote 2 we na huyo dada yawezkana mlikula njama so ilitakiwa polisi "wawapige tu" maana nyie wakaidi.
 
Tbc haina makosa kabisa huo ni utandawazi tu!kwani matiti kitu gan hujawahi ona?chunga tamaa mbaya kwetu sie kila mwezi ni mtukufu na tamaa mbaya hazina mwezi unahitaji maombi!
 
Hivi bado wako hewani??? Mimi nina zaidi ya miezi sita TBC sijaitia machoni kwani imepotea kwenye dishi langu la 6 ft. Nikawapigia simu wakasema nitafute king'amuzi, nikawauliza kwa hiyo nikinunua king'amuzi hili dishi nitupe? Hasara hii atanifidia nani? Sikupata majibu. Basi mimi naendelea kuangalia ITV and related, Chanel 10, star and others na kwa kweli sijajuta na hakuna ninachokosa.

wewe ni kama mimi!
 
Vip??? Ulipomuona huyo mtangazaji mtarimbo wako haukusimama?.@
 
Kwa iyo watu wakose uhuru wao kwasababu ya mwezi mtukutu?!
 
wakuu,salaam.
kama kuna mtu kaangalia TBC taarifa ya habari usiku huu kuna dada alikuwa anatangaza utabiri wa hali ya hewa alikuwa kavaa nguo zisizoendana na maadili ya mtanzania ukizingatia huu ni mwezi mtukufu.
alikuwa kavaa blause inayoonesha sehemu ya maziwa yake na sehemu ya tumbo kichini ya kitovu.

sipendi kabisa kuitazama ila leo nikuwa ugenini sehemu na kukutana na hicho kihoja.

Mbona kavaa kawaida tu
 
Back
Top Bottom