Maajabu Meya wa Ilemela chadema Matata kasimama kwenye jukwaa la ccm na kusema ccm oyee,kidumu chama cha mapinduzi.Hii ni mara ya tatu sasa,mara ya kwanza alitangaza kuwa anarudi nyumbani na uchaguzi ujao atagombea kupitia ccm
Mkuu ndo uwaulize MaIntarahamwe mashuka meusi yametoa wapi
Mkuu ndo uwaulize MaIntarahamwe mashuka meusi yametoa wapi
Mbona unaharisha hovyoo, Mwigulu anawapa dozi Tulia upone.Joyce Masunga Katibu mkuu wa CCM Mwanza ni kichekesho analazimisha u-MC wakati sauti hana anakoroma kama kitimoto. Uso umebabuka kama walivyo wanawake wengi wa CCM wachumia tumbo
Mkuu, angekuwa kichaa chama na Rais wangemuamini? Na je watu wangejazana uwanjani kumuangalia na kumsikiliza?
CCM ni Ma Dr na Prof tu hakuna waliododge shule
Mie naskiliza zangu mixing Dj ya Mafikizolo.
Fuatilia kama unatazama au unasikiliza TBC
Mi nacheki katuni na wanangu huku napata kinana ya baridii