Inashangaza sana mtu kama mwigullu mchemba kutumia pesa ya kodi zetu kusomba watu vijijini ili kuhudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 26 jumamosi hapa jijini mwanza katika uwanja wa furahisha,cha ajabu ni kwamba hakuna pointi hata moja ya msingi,badala ya kutoa hoja eti yeye ni kutoa lawama lukuki kwa ukawa na kuilaumu serikali kwa kutumia mabilioni kununua magari ya kifahari,watu kama huyu hatakiwi kabisa kwenye uongozi popote duniani labda kwa serikali ya ccm kwani wao wamezoea kulindana.ila siku zenu zinahesabika,2015 sio mbali kitaeleweka tu.
unavyo mpaisha yeye anachekelea. Yeye ana janga gani la kitaifa? Think twice mwigulu sio janga la kitaifa. Janga la kitaifa ni aliyemteua. Nadhani umenielewa maana yangu.