mkuu unapotaka kujiunga na kazi fulani ni lazima ujue requirements zake kitaaluma, ama sivyo utakuwa unakuwa kituko kila siku.kwi kwi kwi! mwigulu huyooooooooooooooo
Watoke zao huko,wanaacha kuturushia mambo ya msingi,wanaturushia hayo mafisadi!
Sikutaka kuchangia hapa na pia nimizima TBC na kuangalia stationa zingine, ila wewe umenifanya nichangie.
Kwanza naona mkutano wa ccm wala si wa ki serikali. Uwanja una sare za ccm ambao huenda mikutanoni kwa malipo na mujibu wa mila za ccm.
Ninathibitisha kwamba seriakli ya ccm haitafanya mkakati wowote wenye lengo halisi la kufuta ujinga Tanzania kwa sababu ujinga huo ndio mtaji wa umangimeza wa ccm.
Ninawasi wasi kama ccm itaendelea, tunakoelekea hakutakuwa na haja ya mahakama. Kesi zote zitahukumiwa kwenye mikutano ya hadhara kwa kura za ndiyo ama hapana.
Hainiingii akilini mwigulu kwenda kuzungumza habari ya deni la taifa kwenye mkutano uliojaa watu mbumbubu wasiojua masuala ya uchumi wala takwimu za maendeleo na matumizi ya fedha serikalini. Anaacha kuongea na wasomi wanaohoji kitaalamu ongezeko la deni la taifa kwa kuwianisha kiwango na ukusanyaji mapato na gharama investment zilizofanyika, anakimbilia kwa watu wasio na ufahamu ili awashindilie kwamba wamekopa kujenga UDOM na barabara bila takwimu. Upumbavu kweli kweli.
Habari za Katiba, kama ana justifications za msimamo wa chama chake, na kweli ni mwanamme, aseme kwenye forums za wasomi wanaoelewa pamoja na tume iliyotayarisha hiyo rasimu awakosoe kwamba wamekosea. Siyo kuwakimbia wasomi, na kwenda kuwarubuni watu wasio na utaalamu wa uandishi wa katiba ili apate moral support kwa kuwa mbumbumbu ni wengi.
Ninafikiri sasa wale Waombaji, ni muda sahihi wa kubadili maombi na namna ya kuyafanya. Hatuwezi kudumu katika utumwa wa ukoloni wa ccm wasiojali tena elimu wala maslahi ya wa Tanzania. Unafiki na hila , manipulation na uvunjaji wa sheria na haki za binadamu pasipo kuwa na chembe ya dhamira ya uwajibikaji wala kuleta mabadililko halisi kwa maisha ya MTanzania. Now it is more than enough!.
Babu Slaa.
Vijana w BAVICHA mna matatizo sana.
Kila siku tunasema kazi ya kisiasa mliyotumwa kuifanya iko juu ya uwezo wenu.
Wewe unadai ulizima TV na kuanza kuangalia vipindi vingine halafu cha kushangaza unaanza kuielezea hotuba huku ukikosoa. Sasa hiki unachokikosoa ambacho kilikuwa ni sehemu ya hotuba umekipata wapi wakati hukuangalia hiyo hotuba kwenye TV.
Ndiyo yale yale ya Dr. Slaa ya kuwaambia watu mbali mbali warudishe kazi za CCM wakati ya kwake imeiweka kwenye special document frame.
Kama hukutaka hata kusikia kilichokuwa kinasemwa kwenye mkutano, nini kimekufanya ukaanza kusoma michango mbali mbali kwa jambo ambalo huhitaji hata kulisikia.
Yaleyale ya sizitaki mbichi hizi
hebu tupe feedback ya kilichomkuta mwigulu leo mwanza
Leo mtasema yote, Ila Mwigulu ni kiboko yenu!
Hizi ajira za Lumumba zinapatikaje kuna mdogo wangu hana ajira kabisa zitamfaa sana!Subiri waajirwa wa lumumba waje
Wana jf
Kama mnavyofahamu leo mwigulu alikuwa na mkutano hapa jiji mwanza.
Cha kushangaza sikuona shamla shamla za vijana mtaani kama ilivyo kawaida kwa vijana wa mwanza kwani katika mikutano ya chadema hata inayroandaliwa na mbunge shamla shamla uoneka mapema.
Baada ya mvua kukata mida kama ya saa 11.30 hivi vijana wawi ( mmoja wa kiume mwingine wa kike) walionekana wakiwa wamevalia sare za ccm na ilionekana wamechoka dhahili walitokea mkutano.. Cha kushangaza wamekutana na zomea zomea mtaa wa liberty.. Wengi wakisema haoooo haooo wametoka magu kwa gari sasa wamerudi kwa mguu.. Mtaa mzima kila wakipita ni kuzomewa huku mjini sikuona kijani nyingine tofauti na hizo mbili nikajiuliza walio kuwa mkutanoni walitoka mwanza ipiii.!??
Leo mtasema yote, Ila Mwigulu ni kiboko yenu!
CCM ni Ma Dr na Prof tu hakuna waliododge shule
Ndugu. Nadhani leo utakesha kwenye hii thread.
You are allover the place!. Kila comment unajibu kama vile wewe ndiye mleta thread.
Kazi uliyotumwa kuifanya iko juu ya uwezo wa kiakili.
Hao viongozi waliokutuma kwa sasa wameamua kukificha chama kwenye kikundi kinachojiita UKAWA. Wewe ndiyo utaweza?.
Unachofanya hapa ni kupoteza muda wako na tatizo kuu linalokusumbua ni kutofahamu kama hufahamu.
Kwa faida yako, ni bora kukupuuza tu.
Mwigulu Nchemba katika hotuba yake ambayo kimsingi haikuwa na jambo lolote la mashiko bali kupoteza muda wa walipa kodi alitumia muda wake mwingi kuibeza UKAWA. Eti anadai wananchi waliandamanishwa na vyama vya upinzani kudai katiba huku baadhi yao wakipigwa mabomu, risasi na kufa wengine kuwa vilema. Napata shida kumwelewa Mwigulu kama hajui kuwa Raia hawa waliuwawa na Jeshi la polisi kwa maelekezo ya CCM?. Mwangosi aliuwawa na nani?