TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

Ndugu. Nadhani leo utakesha kwenye hii thread.

You are allover the place!. Kila comment unajibu kama vile wewe ndiye mleta thread.

Kazi uliyotumwa kuifanya iko juu ya uwezo wa kiakili.

Hao viongozi waliokutuma kwa sasa wameamua kukificha chama kwenye kikundi kinachojiita UKAWA. Wewe ndiyo utaweza?.

Unachofanya hapa ni kupoteza muda wako na tatizo kuu linalokusumbua ni kutofahamu kama hufahamu.

Kwa faida yako, ni bora kukupuuza tu.

yaani hapo kwenye red ukinizidi hata 0.0000000001% najitoa kuwa great thinker
 
CCM imezidiwa , haina hoja ,haina jipya .......UKAWA imewabamba ....
 
Mwaka huu kama unavyoona kwenye avatar yangu hapa, hebu jiulize huyo jamaa anayeitwa Tyson wa chama cha matapeli mbona anakwepa mdahalo wa kesho ITV? Tatizo walishazoea kuongoza kwa mazoea, watanzania wa leo si wale wa miaka hiyo ambayo watu walikuwa wakitishwa na kuogopa,swali jingine hivi ni kwani hawataki maoni ya rasimu ya wananchi ?
 
wananchi wa mwanza wamewachoka chadema.umati wa leo umedhihirisha jinsi ccm inavyokubalika na kupendwa.

chadema hawalazimishi mtu kufunga duka lake anafunga mwenyewe kuja kwenye mkutano.
chadema hawambebi mtu Kwa roli au hata kumpa nauli ila kila mtu anakuja kwa nauli yake
chadema hawagawi hata maji ya kunywa pale hoja tu kula kwenu
 
Rasimu ya 2 ya katiba Ccm will never accept it . Inaharibu mizizi yake
 
Kwa hotuba ya leo Mwigulu ameshusha mno hadhi ya CCM. Ikiwa anakiri kuwa kuna wananchi walikufa wakidai katiba, swali linakuja waliuwawa na nani? kama si serikali ya chama chake? yaani Mwigulu bila aibu anakiri kuwa Rais alinazisha mchakato wa katiba baada ya wananchi kuuwawa na polisi wao! vry sad! hawa ndo viongozi wetu hata maneno ya busara hawana!
 
Tumia kichwa kufikiri sio kunyolea panki
Kwani wakati wanaandamana bila kibali walishawishiwa na nani?

wakiandamana bila kibali adhabu yake ndo wauwawe? ila ipo siku kila goti litapigwa na klia mtu atavuna alicho panda.
 
Inashangaza sana mtu kama mwigullu mchemba kutumia pesa ya kodi zetu kusomba watu vijijini ili kuhudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 26 jumamosi hapa jijini mwanza katika uwanja wa furahisha,cha ajabu ni kwamba hakuna pointi hata moja ya msingi,badala ya kutoa hoja eti yeye ni kutoa lawama lukuki kwa ukawa na kuilaumu serikali kwa kutumia mabilioni kununua magari ya kifahari,watu kama huyu hatakiwi kabisa kwenye uongozi popote duniani labda kwa serikali ya ccm kwani wao wamezoea kulindana.ila siku zenu zinahesabika,2015 sio mbali kitaeleweka tu.
 
Attachments

  • 10501676_494252614052792_3033860930766627250_n.jpg
    10501676_494252614052792_3033860930766627250_n.jpg
    96.7 KB · Views: 564
Inashangaza sana mtu kama mwigullu mchemba kutumia pesa ya kodi zetu kusomba watu vijijini ili kuhudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 26 jumamosi hapa jijini mwanza katika uwanja wa furahisha,cha ajabu ni kwamba hakuna pointi hata moja ya msingi,badala ya kutoa hoja eti yeye ni kutoa lawama lukuki kwa ukawa na kuilaumu serikali kwa kutumia mabilioni kununua magari ya kifahari,watu kama huyu hatakiwi kabisa kwenye uongozi popote duniani labda kwa serikali ya ccm kwani wao wamezoea kulindana.ila siku zenu zinahesabika,2015 sio mbali kitaeleweka tu.

Akili zako zilizobaki ni za kukatia KIMBA tu lichagadema mkubwa wewe...hao ndio wapiga kura wa CCM iwe wamesombwa au hawajasombwa alimradi ni watanzania tu inatosha...hii nyimbo yenu ya Malori sijui ya kusomba watu imeshachuja...yaani hata club ukiigonga humuinui mtu kuicheza
 
Ndugu. Nadhani leo utakesha kwenye hii thread.

You are allover the place!. Kila comment unajibu kama vile wewe ndiye mleta thread.

Kazi uliyotumwa kuifanya iko juu ya uwezo wako kiakili.

Hao viongozi waliokutuma kwa sasa wameamua kukificha chama kwenye kikundi kinachojiita UKAWA. Wewe ndiyo utaweza?.

Unachofanya hapa ni kupoteza muda wako na tatizo kuu linalokusumbua ni kutofahamu kama hufahamu.

Kwa faida yako, ni bora kukupuuza tu.

ukawa inayowatoa jasho kila siku mkuu!!!!
 
Mkuu wewe ulitegemea kuna lamaana hapo? Sasa anailaumu serikali ipi inayonunua magari yakifahari yeye asiwemo?.Hiyo Ukawa wanaiota Sana sioyeye tu,nabado
 
Hao wanaosombwa namafuso ndio wapiga Kura wa Interahamwe,waliokata tamaa yamaisha hawajui kesho kutakuwaje,ndio mana wanalundikwa kwenye maroli kama Nguruwe kwa ahadi ya Wali maharage wanakubali
 
Akili zako zilizobaki ni za kukatia KIMBA tu lichagadema mkubwa wewe...hao ndio wapiga kura wa CCM iwe wamesombwa au hawajasombwa alimradi ni watanzania tu inatosha...hii nyimbo yenu ya Malori sijui ya kusomba watu imeshachuja...yaani hata club ukiigonga humuinui mtu kuicheza

inaimbika vizuri ndo mana leo misukule ikaja kupiga kimya mjini mwanza sijui hamkuipa unga wa ndere jamaa akawa anajijibu mwenyewe poleni sana magamba
 
Hao wanaosombwa namafuso ndio wapiga Kura wa Interahamwe,waliokata tamaa yamaisha hawajui kesho kutakuwaje,ndio mana wanalundikwa kwenye maroli kama Nguruwe kwa ahadi ya Wali maharage wanakubali

kwi kwi kwi! nasikia leo hawakupewa nyama ndo maana wakagoma kumshangilia mwiguluuuu
 
Hivi inakuwaje Waziri au naibu Waziri Wa serekali Fulani kuilaumu serekali husika huku akiendelea kuwa mtumishi Wa serekali hiyohiyo? Kwanini asijiuzulu ?
 
Back
Top Bottom