Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 871
Hata mimi natamani kufahamu kwa kweli,mwanzoni tulikuwa tunadanganyana kwamba raia wa kawaida haruhusiwi kumiliki lakini baadae wakati sakata la Muro linaendelea nikasikia kwamba pingu zinauzwa kama bidhaa zingine na leo tumeambiwa kwamba jamaa kawasilisha risiti ya manunuzi ya pingu yake..tafadhali wanasheria mtudadavulie jambo hili.