bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,880
Nani sasa anashughulikia,polisi,TAKUKURU au Waziri mkuu mwenyewe?
keep wondering my dear sisy!!!!!!!!!
yapo mengi ya kushangaaa kwenye hili!!
BTW: hongera kwa kumpindua ZD kwa iribini!!!
Nani sasa anashughulikia,polisi,TAKUKURU au Waziri mkuu mwenyewe?
mh mradi mwingine huo hapo lazima tume iundwe fasta watu wale pesa jamani tanzania rahaa
mkuu ndio maana nikarudi nyuma kumnukuu jerry muro kwamba anamiliki hivi vitu miaka minne sasa huku risiti iliopatikana inaonesha alinunua pingu may 20 2008.je kuanzia may 20 2008 mpaka leo miaka minne imefika?risiti hutengenezwa mtaani tu....tusubiri zithibitishwe then tuanze kuhoji
hili Sakata kwa sasa lipo lipo tu ..Bunge ,Police ,Takukuru hata halieleweki
Bunge la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar limeambiwa leo hii na waziri mkuu wake mh pinda
swala la jerry muro wameomba watashugulikia kwa umakini zaii na haraka zaidi huku riport ikiwa wazi kwa kila mtanzania...
Kazi kubwa hongera jerry hata ukifa leo umeingia kwenye
kumbukumbu ya hoja za bunge kukujadili;ilikuwa patashika walipoanza kumjadili....
Kila la kheri haki itaonekana br kuwa mpole
kinacho tuumizwa kichwa ni kuona kamanda wetu wa polisi hajui sheria za nchi.lazima uogope hapo lol.hapa tutakaa tunaumiza vichwa vyetu bure kitendawili tega majibu wanayo wenyewe wahusika ..
kama mwizi akikamatwa anafungwa mashati au kamba ndo afikishwe police basi ni haki yake kujimilikisha pingu kiuhalali 😉
kinacho tuumizwa kichwa ni kuona kamanda wetu wa polisi hajui sheria za nchi.lazima uogope hapo lol.
Bunge la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar ..........