Hivi mmeuliza wale jamaa wawili walikamatwa kwa kosa gani na kuoneshwa mbele ya hadhara? Kama Muro kosa lake lilikuwa kukutwa na pingu, na wale wengine kosa lao lilikuwa ni nini? Isije kuwa kukaa mezani na mtuhumiwa likawa nikosa. Maana kama ni hivyo kuna wengi wanahitaji kutiwa pingu kwa kunywa chai na mafisadi na waporaji wa urithi wa watoto wetu.
Hivi mmeuliza wale jamaa wawili walikamatwa kwa kosa gani na kuoneshwa mbele ya hadhara? Kama Muro kosa lake lilikuwa kukutwa na pingu, na wale wengine kosa lao lilikuwa ni nini? Isije kuwa kukaa mezani na mtuhumiwa likawa nikosa. Maana kama ni hivyo kuna wengi wanahitaji kutiwa pingu kwa kunywa chai na mafisadi na waporaji wa urithi wa watoto wetu.
http://www.youtube.com/watch?v=hC_GL3Ei_Ww&feature=player_embedded
http://www.youtube.com/watch?v=2rJMWr5wa-Q&feature=player_embedded
Watuhumiwa wa utapeli wenzake na Jerry ni hawa hapa...
http://www.youtube.com/watch?v=oKyIBg0k8As&feature=player_embedded
Nilishawaambia hii issue ni kisu kwa Muro. Nikasisitiza, kwa wale wanaoangaliaga CNN on regular basis hapa Ulaya au kokote Duniani, kuna mtu aliyetegemea Jeff Koinage ateketeee kijinga namna ile?!.
Kuna mengi ya kuona. Tusubiri. Lakini kigogo amekalia Muro kwa nyuma!
Jeff Koinange is a Kenyan journalist and chief reporter at TV Station K24 and previously serving as the Africa correspondent for CNN and CNN International from 2001 to 2007.
Included among the more significant stories Koinange has covered for CNN in Africa were the crisis in Darfur, the civil wars in Liberia and Sierra Leone and the famine in Niger, for which Koinange won an Emmy award.
Most recently, in early 2007, Koinange was reprimanded by the government of Nigeria for his coverage of the Movement for the Emanicipation of the Niger Delta (MEND). In his report, Koinange accompanied masked MEND guerillas to a camp where they were holding a number of Filipino hostages. The Nigerian government said that the report was "staged", a charge CNN denies.
Koinange has also covered news outside of Africa, including extensive reporting on the aftermath of the Hurricane Katrina crisis as well as the Iraq War.[3]
On May 29, 2007, CNN announced that Koinange was no longer employed by the network. He had apparently been caught up with some sex scandal that CNN did not want to become associated with.
How is our Jerry linked with this leech?😕
cough cough...embu bi mkubwa tudokezee vichwa vya habari vinasemaje?
Jamani ,katika sheria ya Tanzania kunaruhusiwa ushahidi wa video mahakamani ?
nilifuatilia majadiliano fulani ya wanasheria na nilielimishwa kwamba ushahidi wa video haukubaliki mahakamani kwa maana ni rahisi kuupindisha kwa maana digitaly store information can be manipulated arround
Hakuna mahakama Tanzania inayoweza kumfunga Muro kwa kesi hii iliyoborongwa!
Hivi huyu kweli huwa anaangalia press conference za polisi wa majuu na kulearn kitu????wenzetu huwa hawahukumu kwenye hizi conference sana sana wanabrief tuu.Sasa mpaka watuhumiwa nao wanaletwa kwenye press conference...aaaahaaa nimekata tamaa na nchi yangu.
embu bi mkubwa tudokezee vichwa vya habari vinasemaje?
PCCB na Polisi wanafanya kazi zinazofanana? je nini majukumu ya polisi katika suala la rushwa na ipi mipaka ya kimajukumu katika hili kati ya polisi na PCCB?
eeeh jamani vichwa vya habari vya magazeti navyo utata mtupu ............
hamko makini sana ..huyu anaandika vyake ,huyu analeta kivyake inaborongwa tu
embu bi mkubwa tudokezee vichwa vya habari vinasemaje?
Unakubalika ndugu TanzActive. Ni kulingana na Kifungu cha 40 A cha Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2007, No. 15 of 2007 ambacho kinahusu Evidence Obtained Undercover Operations!
Maimuna you are right. Tunalipuka kama ugonjwa wa kipindupindu na kusahau yote kisha tunasahau na hilo na kuanza tena. Kwa style hii,mwisho hatukumbuki chochote.something to keep tanzanians busy, as usual the whole country is talking about this, kila utakae kutanana nae baada ya salamu is this case, baada ya muda we all forget and wait for another new topic to discuss.......
Si waseme tu ndiye aliiba besa za EPA na wamfunge?
Ushahidi ni kitendo chake cha siku moja kupita karibu na BoT........