TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

hivi jerry amesoma chuo gani? Uandishi ili tujue kama ni mwana taalum, maadili, etc. Au kavamia fani, kawa maarufu na sasa.........
Alafu mwenye kujua mwenendo wake atueleze, make tv journalists wengi, wanaokotaokota kama kuku wa kienyeji, yaani habari zao nyingi ni za ku promote ili wapewe kitu kidogo

jf university
 
inawezekana ni kweli watu wanenchezea dili ila nina uhakika akukubali kuchukua zaidi
ya kutaka kumchafulia jina baada ya kuwaaibisha matraffic;jerry waechokoza moto kaza buti ukimalizana nao ni pm nikupe picha zingine za awa maharamia wakichukua pesa pale tengeru wanshnchefua wewe tu uzikuze;;;swala la rushwa si la mtu mmoja jamani mkija kuchangia lazima tujue kuwa tuko kwenye mapambano;huyu bwana ameonyesha uwazi halizi uchafu wanaotufanyia maaskari;labda niwasaidie mimi nilishawahi kumuwasha mshenzi mmoja ofisini akiwa anachukua rushwa ;baya alikuwa anaomba tunachopata akienda kwa mabosi anaropoka wezi;;;wanaume wakaingia kazini ndani ya moovie live akaegemea ....alivyo mjinga akamtengenezea mmoja wetu dili ati atinge chooo cha kike jamaa nae akanda mchustua mtu wa pcb gafla wakaja fresh na wale jamaa zao ;na yeye jamaa zake wakaja akuziacha alipokea matokeo yake jamaa ana kazi leo hii;;wakati polisi wakijitayarisha kumchukua mwenzetu pcb nao wakafa na yule alietoa alipobanwa akadai amepewa hiyo dili na mtu fulani..................,bosi we patamu jerry kaza buti lazima aibu iwakute jf watakuwa mashahidi

mi nahisi wakati akiwa anatoa wale mapolisi hadharani angejiuliza yyeeye msafi kiasi gani
hakuna alie perfect;si jf waala popote ndio maana sehemu zingine za kuwaumiza watu atukimbilii kutoa mawazo;
embu jiulizeni jamani familia 15 zimeumia;kila familia ina wattoto min 2 watoto 30 ada analipa nani
upande wa ndoa wake 15
imagine madada zetu sikuhizi bila kuwa na kazi wengi wanakimbia imagine ndoa ngapi zimeathirika na jerry???

Upande wa nyumba ndogo
imagine nani atamfwata mwanaume asie na pesa ??
Watoto wangapi walikuwa wakitunzwa na hao mapolisi kutokanana na
nyumba ndogo???ni familia ngapi zimeathirika kwa upande nyumba ndogo

he deserve
segere lazima alicheze !!!!!!!!!!

job true true!!!!!!!!
 
Post kama hii (Jerry Muro mbaroni kwa rushwa) tayari ipo JUKWAA LA SIASA.

MODS - please combine these two

Thanks
 
Mi nahisi wakati akiwa anatoa wale mapolisi hadharani angejiuliza yyeeye msafi kiasi gani
hakuna alie perfect;si jf waala popote ndio maana sehemu zingine za kuwaumiza watu atukimbilii kutoa mawazo;
embu jiulizeni jamani familia 15 zimeumia;kila familia ina wattoto min 2 watoto 30 ada analipa nani
upande wa ndoa wake 15
imagine madada zetu sikuhizi bila kuwa na kazi wengi wanakimbia imagine ndoa ngapi zimeathirika na jerry???

UPANDE WA NYUMBA NDOGO
imagine nani atamfwata mwanaume asie na pesa ??
watoto wangapi walikuwa wakitunzwa na hao mapolisi kutokanana na
nyumba ndogo???ni familia ngapi zimeathirika kwa upande nyumba ndogo

he deserve
segere lazima alicheze !!!!!!!!!!

Kweli JF, Home of Great "Sinkers," ina watu!
 
Kuna SMS zinasambazwa... Nanukuu ...."Je ww ni MTANZANIA?uko tayari kuipoteza SAUTI YA WANYONGE?Uko tayari kumpoteza JERRY MURO?Kakamatwa kwa RUSHWA ili kumziba mdomo.tafakari chukua hatua kuitikia MAANDAMANO" Mwisho wa kunukuu.

Mandamano????
 
Mi nahisi wakati akiwa anatoa wale mapolisi hadharani angejiuliza yyeeye msafi kiasi gani
hakuna alie perfect;si jf waala popote ndio maana sehemu zingine za kuwaumiza watu atukimbilii kutoa mawazo;
embu jiulizeni jamani familia 15 zimeumia;kila familia ina wattoto min 2 watoto 30 ada analipa nani
upande wa ndoa wake 15
imagine madada zetu sikuhizi bila kuwa na kazi wengi wanakimbia imagine ndoa ngapi zimeathirika na jerry???

UPANDE WA NYUMBA NDOGO
imagine nani atamfwata mwanaume asie na pesa ??
watoto wangapi walikuwa wakitunzwa na hao mapolisi kutokanana na
nyumba ndogo???ni familia ngapi zimeathirika kwa upande nyumba ndogo

he deserve
segere lazima alicheze !!!!!!!!!!

Kwahiyo majambazi na vibaka nao waachiwe huru kwasababu kuna familia zinawategemea?Tumia ubongo,inaelekea unahitaji diper changing lol
 
NI kweli na inavyoelekea haikuwa imepangwa, ni mazoea. Kwani alikwenda kumvaa source huyo akiwa na jamaa fulani ambao aliwatambulisha kuwa ni usalama wa taifa, wakati siyo kweli, ni wajanja tu wa mjini. Naendelea kufuatilia hapa, nimemuona Muro, ngoja nizungumze naye

Shukran Kamanda,je mazungumzo yenu yamefikia wapi?ne updates?
 
Kwahiyo majambazi na vibaka nao waachiwe huru kwasababu kuna familia zinawategemea?Tumia ubongo,inaelekea unahitaji diper changing lol

Ukimwachia mtu ambaye mawazo yake yako "corrupted" atoe mawazo yake unategemea nini?
 
Ahha!! Kamanda yakweli hayo mbona Jerry nimempigia anasema yupo salama? Wewe uko maeneo gani kwani hata mimi nipo hapa Kwa Mkumbo nimetoka sasa Hivi naenda kumwona Mkony? Weka bayana ametoka Kwa RCO amekwenda wapi????
 
Watanzania walio wengi ni majambazi tu; tofauti iliyopo ni kwamba wengine wana nafasi ya kuiba (kufisadi) wakati wengine hawana. Lakini kila mtanzania anayepata nafasi ya kuwaibia Watanzania wengine, nina uhakika zaidi ya asilimia 90 watafanya hivyo.

Hivi vita ni lazima vianzie kwa mtu mwenyewe, kabla hata ya kumnyoshea mtu mwingine ni muhimu kujisafisha mwenyewe na kuondoa tamaa zote.

Ni wazi ukikosoa wengine na wewe utawekwa kwenye mzani wa juu zaidi. Sasa kama huyu ndugu yetu hakuliona hilo basi ni balaa kwa nchi.

kadri watu wa maana na wanaopambana na rushwa kama Muro wanavyoingia kwenye mitego ya rushwa, ndivyo sisi wote kama nchi tunavyoshindwa na mafisadi.

Tafadhali ndugu zetu mlioko kwenye haya mapambano, jisafisheni kwanza kabla ya kurusha mawe. Kama ni kweli Muro naye kanaswa atakuwa amerudisha nyuma haya mapambano kwa asilimia kubwa.

Pole sana, hiyo ndiyo Tanzania yetu ambayo wasafi ni wachache mno.
 
Ukimwachia mtu ambaye mawazo yake yako "corrupted" atoe mawazo yake unategemea nini?

Mwanahalisi kasema kuwa huyo Jerry hakufanya jambo jema kuwafichua matraficc wapokea rushwa kwasababu wanategemewa na familia na nyumba ndogo,mtizamo wangu mimi tofauti kwasababu naamini kupokea rushwa ni kosa la jinai kama makosa mengine,na kwahivyo kusema kwamba waachiwe waendelee kufanya wanayofanya kwasababu kadhaa wa kadha,kulinifanya nimwulize swali kama ni sahihi kutumia sababu hizo hizo na kuwaset criminals free,yani on basis kwamba kuna vimada wanawategemea nk.
Kwahivyo ni kweli inawezekana mawazo yake yako corrupted na kwahivyo sina cha kutegemea.
 
Ahha!! Kamanda yakweli hayo mbona Jerry nimempigia anasema yupo salama? Wewe uko maeneo gani kwani hata mimi nipo hapa Kwa Mkumbo nimetoka sasa Hivi naenda kumwona Mkony? Weka bayana ametoka Kwa RCO amekwenda wapi????

Kwani ukiwa Central Police si bado uko salama jamani? Si hawa jamaa wanalinda "usalama wa raia na mali zao?"
 
ukimwachia mtu ambaye mawazo yake yako "corrupted" atoe mawazo yake unategemea nini?

nchi nzima corrupted;we unatarajia nini???
Ukizoea unafiki ndio tunarudi kule mi msafi mara .......
 
i165_jerry.jpg
Jerry Muro
 
naamini kupokea rushwa ni kosa la jinai kama makosa mengine,na kwahivyo kusema kwamba waachiwe waendelee kufanya wanayofanya kwasababu kadhaa wa kadha,kulinifanya nimwulize swali kama ni sahihi kutumia sababu hizo

ULIMSAIDIAJE JERRY ALIPOWAONYESHA TRAFFIC WALA RUSHWA AKIWA ITV
UNAJUA KILICHOENDELEA??UKIWA KAMA MPINGA RUSHWA NCHINI UMEFANYA NINI KUZUIA RUSHWA ???UKIJIULIZA HAYA MWANGALIE NA BOSI WAKO ANACHOFANYA PALE JUU UTAJUA WOTE UCHAFU MTUPU!!!!!WE MSHAURI AENDELEE KUTUSAIDIA KUTAFUTA WALA RUSHWA IPUNGUE NA SI IISHE....RUSHWA AISHI ATA SIKU MOJA !!!!
 
Back
Top Bottom