TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Uzushiiiiiiiiiiiiiiii mtupuuuuuuuuuuu, police wetu wanaendelea kuchemkaaaaaa this time KOVA anachemkaaaaaa tena. Hii haijatulia duuuuuu police jipangeni upyaaa.

Viongozi wetu wa serikali punguzeni matumizi yasiyo ya muhimu, baneni matumizi, acheni UFISADI jamani tupeleke polisi shule, vyuoni, tuwapeleke mpaka nchi za nje China, Germany, USA, wakasome, naamini kabisaaaa polisi wengi walisoma shule za akina KAYUMBA, nadhani mnaeelewa, kwa hiyo wanahitaji ELIMU KUBWAA WANAHITAJI ELIMU YA WATU WAZIMA. Polisi waliosoma shule nzuri za St..bla bla., St. bla bla, St. bla bla ni wachacheeeeeee sanaaaaaa.
Tupeleke walimu, polisi, doctors, nurses, wakasome. Kesi ya Muro inaoonyesha kabisaa polisi wanahitaji kwenda shule zaidi na zaidi...
 
Anajikanganyaje embu tuambie we Wildbad, na wewe mwenzao nini hata mtoto ukimsumulia hii hadithi atakupatia jibu stahili, sema ukweli acha ukoplo wako,kama wangekua wanajiamini wakeenda moja kwa moja mahakamani kesi ngapi wanazipitisha kwa mwanasheria wa serikali hili limeshawavundia wanatafuta sababu ya kulizima acheni kukurupuka fanyeni kazi kwa kutumi taaluma na si simulizi
 
NI wazi kabisa Polisi wana mkono wao mkubwa tu katika tukio hili, SIna imani kabisa na Jeshi la Polisi tokea zamani, wanawabambikia raia wema kesi nyingi tuu, mungu naye hajaribiwi jamani hili litawatokea puani polisi hawa, sasa la rushwa limeshindikana mkazo ni PINGU, hahahahaha KOVA KOVA KOVA KOVA, MSALABA WA DHAMBI NI MAUTI BABA
 
This is all RUBISH!!!!!!

Polisi wanaendelea kuchemkaaaaaaa, big time mchemshooooooo!!!!

Pole kaka Jerry Muro endeleza mapambano usichoke, hivi ni vijimambo tuu na haswa unapokuwa ukiwatoa mapolisi maovu yao kama unavyofanya wewe, vita uliyoianzisha na mapolisi ni kubwa sanaaaaaa siyo ya kucheza, maisha yako yako hatarini. Unajuwa ni askari wangapi wamefukuzwa kazi baada ya kutoa vipindi vyako??? wote hao wana hasira na wewe, kazi unayo siyo mchezo mwana wane.
Nakutakia mafanikio mema. Ila tatizo ni kwamba the whole system IMEOZAAAAA unaanzia wapi unaishia wapiiiiii, kazi kweli kweli
 
Jeshi la Polisi limejaa ubabaishaji na dhuluma. Siamini chochote wanachosema hawa polisi, kwanza wanajidhalilisha kwa kukomalia ishu ya kipuuzi kama hiyo hadi kwa viongozi wa juu hivyo. Wananchi wananyanyasika hawana usalama wao wako bize kupiga siasa.

Usishangae kukuta kwamba Jerry alikuwa na story nyeti fulani ya kufichua wakawahi kumnyamazisha. Kama jeshi na serikali ingekuwa na upeo wangejua kabisa kwamba kwa kumnyamazisha mwanaharakati kunaua credibility yao tu. Kwa mtu aliyejingea heshima ya kazi yake kama Jerry, ingebidi polisi ifanye kazi ya ziada kupata kidhibiti kilicho wazi ndio njia pekee ya mtu yeyote kuwasikiliza otherwise haya mambo yao ya pingu na miwani ni upishi mtupu.

Tumechoka kuonewa na polisi kwa kodi zetu wenyewe. Tumechoka.
 
Sitaki kuamini kuwa Muro alifuata rushwa ya milioni 10, nakataa, ..............please give us a break. Hata kama ana njaa asingefanya hivyooooo siyo mjinga kiasi hicho. Of course anahitaji pesa, hakuna mtu asiyetaka pesa, Jerry Muro simjui ila naamini siyo TAJIRI kwa hiyo 10 m ni big money kwake na kwangu pia, ila bado nakataa aliifuata hiyo pesa..
Maggid, tafakari yako IMENIGUSA SANA!!! Kazi ipo....

To honestly mpwaa hakuna anae kubaliana na hao mapolice kwa wanachokisema Tanzania nzima kasoro hao mapolice wanaopenda chuki na watu, Kweli mtu mahili hawezi pokea rusha kishamba namna hiyo, hata kama ni mimi huniweki mtegoni kiasi hicho!

Kuna kipengere fulani Wage aliulizwa na police ndie huyu J.Muro akasema ndio na J.Muro alimkana pale pale hata kama ni mimi nakukana 7*70 maisha yangu kweli. Hapo ita leta hisia fulani kuwa kuna leak police walipata na wakajua J.muro anafuatilia huko bagamoyo na wao wakamfuata muhusika na wakamconvince nae akakubali kwani alijua fika labda ataponea hapo ila sasa ndio moto ameuanzisha inakula kwake mazima na serikali watu wa hazina wataanza kuichunguza ofice yake huko bagamoyo.

Hawa police wetu wanazidi kutuonyesha ni jinsi gani hawako capable na utendaji kazi wao. ivi huwa hawana mtu anayejua kureport mbele ya waandishi wa habari kila siku ni kova tu yeye anadhani kutolewa kwa runinga ndio fashion au?? kutoa habari you have to be smart na iyo position yapaswa mtu kuajiriwa ndani ya jeshi la police sio kuja tu na kubwabwaja mbele ya waandishi wa habari na umma unakuchambua uwezo wako wa kuongea pia kwa vyombo vya habari
 
KOVA kchemsha, nadhani walioko chini yake wamemdanganya kama Zombe alivyodanganywa wakati ule, Jerry alituhumiwa kupokea rushwa kubwaaaa, sasa suala si rushwa tena ni pingu, mwe KOVA give us a break!!!!!!!!!!!
 
Huwa nawaambia kuwa hii nchi ipo kwenye maajabu ya dunia kwa vituko na vioja!! Haya sasa mnaona ya Jerry.....
Mnaona ya Liyumba na mashahidi wa serikali.............
 
Jana nilikuwa namsikiliza huyo Kamanda Kova hata sijaelewa alikuwa anongea vitu gani
maneno yako yako ni mazito na ya simanzi
Yule mpenda sifa hutakaa kuja kumwelewa. Ndo maana mara nyingine huwa nakwepa kuangalia TV. Unakutana na mambo ya kijinga kijinga yanaelezewa kwa kupambwa na watu wakubwa mpaka unashangaa hivi sisi tunafikiria nini? Ndiyo hivyo kweli tulivyo?
What goes around comes around! Naona kama wameamua kumfix huyu kijana tu kwa ajiri ya corruption zao.
 
Back
Top Bottom