Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,477
Afadhali hili la risiti kuliko ingetangazwa kuwa amekongoliwa wakati akitaka kufanya ujambazi na watu wasiojulikana [lugha zao hizo]
Wana JF walitabiri matokeo ya ripoti yake na haya yaliyomtokea siyo ajabu [tungejee suala linavyoendelea] lakini radio mbao zinasema kuwa huyu kijana kachokoza nyuki maana mtandao huu hauishii chini tuu na ili kuulinda jitihada zote zinafanyika kumharibia yeyote atakayethubutu kutangaza mambo haya na inasemekana suala la rushwa haliishii trafiki tu hata nyanja nyingine vilivile. Wanasema ingawa ndugu zetu hawa wanalalamikia mishahara midogo lakini 'assets' wanazohodhi huwezi kuamini-kama biashara ya daladala ndiyo usiseme.
mnakumbuka katika kesi ya zombe kuna askari ambaye alikuwa muhimu sana kwenye kesi hii na eti hadi leo hajulikani yuko wapi [lakini wadadisi wanasema ni njama ili kuhakikisha jamaa haimbi nyimbo ambayo lyrics zake hazikubaliki.
TUENDELEE KUFUATILIA MAANA NINAAMINI MENGI YATAJITOKEZA