Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
Kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walimu wamekataa kushiriki mgomo ulioitishwa na CWT kutokana na kesi iko mahakamani. Shule nyingi zimeonekana kuendelea na shughuli kama kawaida.
Wakati huo huo rais wa chama cha walimu ametangaza kusitisha mgomo huo kwa kuwa serikali imekubali kutekeleza maridhiano kwa awamu.
Walimu watakiwa kurejea kazini kama kawaid.
TBC1 Uwazi na Uhakika
Wakati huo huo rais wa chama cha walimu ametangaza kusitisha mgomo huo kwa kuwa serikali imekubali kutekeleza maridhiano kwa awamu.
Walimu watakiwa kurejea kazini kama kawaid.
TBC1 Uwazi na Uhakika