TBC Habari saa mbili usiku Leo: Waalimu kote nchini wametii amri halali ya serikali!

Status
Not open for further replies.

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walimu wamekataa kushiriki mgomo ulioitishwa na CWT kutokana na kesi iko mahakamani. Shule nyingi zimeonekana kuendelea na shughuli kama kawaida.

Wakati huo huo rais wa chama cha walimu ametangaza kusitisha mgomo huo kwa kuwa serikali imekubali kutekeleza maridhiano kwa awamu.

Walimu watakiwa kurejea kazini kama kawaid.

TBC1 Uwazi na Uhakika
 
Hiyo tbc inabidi ibadilishiwe jina maana haifanyi kazi kama televishen ya taifa.

Maslai ya chama kwanza yako mbele sana.magamba kweli ni gumzo.
 
Hili ndilo tunalotegemea litangazwe. Hivi Mshana mbona yuko Coward namna hii . Nasema miaka 5 ijayo TBC inaweza iwe imefutika kabisa kwani hawana creativity yoyote na wamebanwa na akina Nape kueleza ujinga
 
Bila aibu watapaa angani na uongo wao wakati mpaka sasa mikoani sijaona mwandishi yeyote wa habari mashuleni,but watatengeneza picha zao na kuzitoa hewani
 
Acha kupotosha umma, Tbc Haijatangaza kitu kama icho, leo nimeshinda na tv. WEWE NADHANI NI GAMBA KUU!
 
Kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walimu wamekataa kushiriki mgomo ulioitishwa na CWT kutokana na kesi iko mahakamani. Shule nyingi zimeonekana kuendelea na shughuli kama kawaida.

Wakati huo huo rais wa chama cha walimu ametangaza kusitisha mgomo huo kwa kuwa serikali imekubali kutekeleza maridhiano kwa awamu.

Walimu watakiwa kurejea kazini kama kawaid.

TBC1 Uwazi na Uhakika
Saa mbili usiku wa lini leo au jana? Hebu toa uhakika wa jambo hili.
 
Mleta huu uzi naona wewe ndiye haswa uliyewekwa hapo TBC 1 baada ya Tido Mhando na unafaa sana kuendelea kuliuwa hilo shirika.
 
Elewa post hii mwandishi, anaponda unafiki TBC kwa kutabiri taarifa ya saa mbili usiku leo.
 
Kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walimu wamekataa kushiriki mgomo ulioitishwa na CWT kutokana na kesi iko mahakamani. Shule nyingi zimeonekana kuendelea na shughuli kama kawaida.

Wakati huo huo rais wa chama cha walimu ametangaza kusitisha mgomo huo kwa kuwa serikali imekubali kutekeleza maridhiano kwa awamu.

Walimu watakiwa kurejea kazini kama kawaid.

TBC1 Uwazi na Uhakika
Mwanaharakatihuru bila shaka utakuwa uko news room hapo TBC1, kwani kwa jinsi ulivyoripoti ndivyo itakavyokuwa usiku wa leo!!
Watu wengine mna vipaji vingi sana, kwa staili hii hamuwezi kufa njaa hapa mjini!!
 
Last edited by a moderator:
Kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walimu wamekataa kushiriki mgomo ulioitishwa na CWT kutokana na kesi iko mahakamani. Shule nyingi zimeonekana kuendelea na shughuli kama kawaida.

Wakati huo huo rais wa chama cha walimu ametangaza kusitisha mgomo huo kwa kuwa serikali imekubali kutekeleza maridhiano kwa awamu.

Walimu watakiwa kurejea kazini kama kawaid.

TBC1 Uwazi na Uhakika

Ndugu yangu waswahili wanasema "UKIWA MUONGO UWE na KUMBUKUMBU"

Sasa wewe unatudanganya kisha unakosa hata kumbukumbu, Heading yako inasema "Taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu" Kisha post yako imekuja leo saa nne asubuhi.

Nenda kamdanganye Waziri Mulugo ndiye atakuelewa. Na pia vua hilo GAMBA ulilonalo ndilo linakuchanganya akili.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Acha kupotosha umma, Tbc Haijatangaza kitu kama icho, leo nimeshinda na tv. WEWE NADHANI NI GAMBA KUU!
Hujamuelewa mtoa mada yeye alichoandika ni utabili wa kitu kitakacho tangwazwa na TBC 1 usiku wa leo, kuwa na upeo ndugu wa kufikiria kabla ya kujibu.
 
Elewa post hii mwandishi, anaponda unafiki TBC kwa kutabiri taarifa ya saa mbili usiku leo.

Ndio dhumuni la mtoa mada nshangaa watu hawajamuelewa nadhani ni hasira tu lkn TBC lazima iwe hv hv usku saa mbili habari,hawatoenda tofauti na hii habari.
 
kwenye maoni ya katiba mpya " napendekeza TBC ibinafsishwe.. wapewe mwanahalisi"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom